M Mnyaluhala. JF-Expert Member Joined Jul 28, 2012 Posts 1,430 Reaction score 1,789 Nov 6, 2014 #1 Habari natafuta simu ya kununua samsung galax s5 au note 3 bajeti yangu ni laki 4. Kwa yoyote anayeuza simu hizo tuwasiliane .
Habari natafuta simu ya kununua samsung galax s5 au note 3 bajeti yangu ni laki 4. Kwa yoyote anayeuza simu hizo tuwasiliane .
M mstaarabu22 Member Joined Jun 30, 2014 Posts 49 Reaction score 4 Nov 8, 2014 #2 ongeza lak na unusu upate mpya kwa 550,000,kwa bei hzo ndo maana mnauziwaga copy,nchek nkupe original kabisa 0767589301
ongeza lak na unusu upate mpya kwa 550,000,kwa bei hzo ndo maana mnauziwaga copy,nchek nkupe original kabisa 0767589301