Natafta mwanasaikolojia aliyepo Korogwe

CUBICBOY

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
306
223
Habarini wakuu, nahitaji msaada wa kisaikolojia naomba yeyote aliyopo korogwe au anayemfahamu mwanasaikolojia anipe contact zake, nina tatizo la stress siku ya tano sasa silali vizuri nipo kwenye dimbwi la mawazo, msaada wakuu
 
nini kimepelekea uwe na hayo mawazo?
 
Habarini wakuu, nahitaji msaada wa kisaikolojia naomba yeyote aliyopo korogwe au anayemfahamu mwanasaikolojia anipe contact zake, nina tatizo la stress siku ya tano sasa silali vizuri nipo kwenye dimbwi la mawazo, msaada wakuu
Mpaka unaandika hivi mbona uko poa tu
kisaikolojia?
 
Habarini wakuu, nahitaji msaada wa kisaikolojia naomba yeyote aliyopo korogwe au anayemfahamu mwanasaikolojia anipe contact zake, nina tatizo la stress siku ya tano sasa silali vizuri nipo kwenye dimbwi la mawazo, msaada wakuu
Kama hautajali niPM nikusaidie !!!
 
Back
Top Bottom