Wanajamvi niaje
Mpo poa
Kwa wale Madarali
Natafta mchumba maeneo ya Masaki
1. Awe Wakishua mpambanaji
2. Anaejue mapenzi na nn maana ya kupendwa
3. Mwenye sura nzuri
4. Shep ya ukweli
5. Na asie na malingo
Madarali kazi kwenu changamkia tenda hiyo?
Wanajamvi niaje
Mpo poa
Kwa wale Madarali
Natafta mchumba maeneo ya Masaki
1. Awe Wakishua mpambanaji
2. Anaejue mapenzi na nn maana ya kupendwa
3. Mwenye sura nzuri
4. Shep ya ukweli
5. Na asie na malingo Madarali kazi kwenu changamkia tenda hiyo?