Mimi ni mwalimu wa Biology na Geography, natafuta kazi

Oct 27, 2024
4
11
Habari Wana bodi,

Wakuu mimi ni muhitimu wa shahada ya kwanza ya elimu na sayansi yaani bachelor of science with education (biology and geography).

Average GPA yangu kwa Semester zote ni 4.4. Masomo nayo fundisha ni pamoja na biology na geography.

Nina uwezo mzuri wa kufundisha masomo tajwa hapo juu. Pia, nje ya kufundisha naweza kuandika pendekezo la mradi la namna nzuri ya kuifanya shule iwe shindani hasa shule za binafsi.

Email yangu Kwa mawasiliano ni: biologyteacher255@gmail.com.

Pia DM yangu ipo wazi.

I really need a work.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom