joseph_mbeya
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,123
- 2,976
emotional damageHapana mkuu binafsi nilitaka kujua bila kujua itaathiri vip hisia zake samahani zake aseeš„²
emotional damageHapana mkuu binafsi nilitaka kujua bila kujua itaathiri vip hisia zake samahani zake aseeš„²
Nooo! Kwa uzuri tu, kuwa single ndio mbaya kuliko kuwa na mtu wakukuliwazaUnataka umchezee tu huyu bintiš
Pole yake asee ndivyo mambo ya mitandao yalivyo ,ila natumaini atampata mume wake humušŖemotional damage
š¤£š¤£š¤£Kumbe una mdomo š¤šHivi kumbe miaka 30 ni binti?
Ahahahahahaaa..!!! Wengine wanajionaga wanaishi Galilaya huku jirani yao ni Yesu.DĆni hujasema hapo unataka wa dini gani? Hicho ni kipengele muhimu sana kwa watu waliopokea tu dini lakini wanajiona kama wajomba mtume au ukoo wa Daud.
ššHapana ninakula kwa pua.šš¤£š¤£š¤£Kumbe una mdomo š¤š
šššHapana ninakula kwa pua.š
šš
Sio kweli, ndoa ni utapeli ulioletwa na kanisa.Ndoa ni baraka na neema kutoka kwa Mungu
vigezo ni wakiwa below 25, hapo kwa 30 and abavu, kikubwa pumzi, mengine atavumilia.Anataka anaye pumua tu
Kumbe wewe bado kabichi kabisašNikifika huo umri bado nitajiita binti
š š š š š...!! Mweee mweeee mweeeeeee... !! Imbombo ngafu nkhamhu..!!Nikifika huo umri bado nitajiita binti
Na mtaani mkuuš¤£š¤£š¤£š„“Ila kwa wazazi wake ni binti badoš
Bado siku moja kufikiaš¤Kumbe wewe bado kabichi kabisaš
Sasa huyo aliyejitambulisha kwamba yeye ni binti, hajajitambulisha hivyo kwa wazazi wake..!!! Amejitambulisha kwa MAANKALIII..!!!Ila kwa wazazi wake ni binti badoš