Natafakari sana virusi aina ya corona Mungu baba atunusuru

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,610
13,160
Wakati mataifa duniani yakitumia nguvu kubwa kuunda silaha za maangamizi, kumbe magaidi wachache wanaweza kusomea udakitari na kuzalisha virus kuangamiza wengi kwa garama ndogo sana.
Kwa taarifa rasimi Serikali China hadi tarehe 7 Feb vifo 631 na wenye maambukizi 31,000 japo huenda China wanaficha taarifa sahihi vifo na maambukizi.
Ipo haja kila mmoja kwa imani yake tutubu kwa Mungu na kumuomba atuepushe na biological weapon.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu hayupo, angekuwepo virusi kama hivi visingekuwepo amekaa tu angani anacheki anafurahi watu wasio na hatia wanakufa.
 
Unatubu ili iweje? Mmeshalemazwa kila kitu Mungu tu?

Muda huu ulipaswa uwe unachakarika kutafuta dawa kwa mbinu zote ili "uikoe" dunia dhidi ya corona virus! -you could be a hero, who knows?

Umekaa hapo unakuna hilo pumbu chafu, eti tutubu!

Akili za akina mwamposa hizi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati mataifa duniani yakitumia nguvu kubwa kuunda silaha za maangamizi, kumbe magaidi wachache wanaweza kusomea udakitari na kuzalisha virus kuangamiza wengi kwa garama ndogo sana.
Kwa taarifa rasimi Serikali China hadi tarehe 7 Feb vifo 631 na wenye maambukizi 31,000 japo huenda China wanaficha taarifa sahihi vifo na maambukizi.
Ipo haja kila mmoja kwa imani yake tutubu kwa Mungu na kumuomba atuepushe na biological weapon.

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Madaktari ndiyo wanaotengeneza virus?
2. China afiche taarifa ya vifo kwa faida gani?
 
Wakati mataifa duniani yakitumia nguvu kubwa kuunda silaha za maangamizi, kumbe magaidi wachache wanaweza kusomea udakitari na kuzalisha virus kuangamiza wengi kwa garama ndogo sana.
Kwa taarifa rasimi Serikali China hadi tarehe 7 Feb vifo 631 na wenye maambukizi 31,000 japo huenda China wanaficha taarifa sahihi vifo na maambukizi.
Ipo haja kila mmoja kwa imani yake tutubu kwa Mungu na kumuomba atuepushe na biological weapon.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatuthibitishia vipi kwamba hii ni biological weapon?
 
Few bright men workout!....
Very soon corona watatangazwa kuonekana kwenye BIDHAA za china karibu zote....kwi kwi kwi....:p
(I am just try to guess)
What gonna hapen to china economy.(SCRAMBLE)
Let try to discuss this
::high I.Q is always high...lets waits and see....
 
Yeah for sure kuna kitu..ni suala la muda tu...
 
Unatubu ili iweje? Mmeshalemazwa kila kitu Mungu tu?

Muda huu ulipaswa uwe unachakarika kutafuta dawa kwa mbinu zote ili "uikoe" dunia dhidi ya corona virus! -you could be a hero, who knows?

Umekaa hapo unakuna hilo pumbu chafu, eti tutubu!

Akili za akina mwamposa hizi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umetumia lugha kali sana kwa hyo Mwamposa alikua anakuna poumbou?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Few bright men workout!....
Very soon corona watatangazwa kuonekana kwenye BIDHAA za china karibu zote....kwi kwi kwi....:p
(I am just try to guess)
What gonna hapen to china economy.(SCRAMBLE)
Let try to discuss this
::high I.Q is always high...lets waits and see....
Yaani ni shida sana
 
Back
Top Bottom