Natafakari hapa nafurahi sana: Band ya Orchestra ya CCM imevurugika too fast kuliko uwezo wao wa kujitambua

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Duh. Nipo napata gahawa hapa, najiuliza miaka sio mingi nyuma. CCm ilikuwa na assets kubwa ya wachambuzi wa masuala ya siasa.Ilikuwa na waandishi wengi kila kurasa za mbele zilijaa chambuzi mbali mbali za watu wenye sifa kubwa ktk nchi, ccm ilikuwa na viongozi wa dini wenye kuheshimika mbele ya waumini wao na hata wa madhehebu jirani km sio dini jirani. Wote hawa walikuwa wakifnaya kazi in Sync walikuwa wakipeana support km band ya Ochestra kuelekea kuilinda ccm.

Hizo siku zimepita haraka sana, hizo nyanjahazina tena mvuto, hata ukiwapa mwaka wa kufanya mazoezi wakiingia uwanjaji haipiti dkk 5 upinzani unawafanya wapitwe na wakati mbele ya watanzania waliokuwa wakidanganyanyika kirahisi.

Ni Muda mfupi sana DJ, kapanga karata zake vyema.Band ya ccm ya orchestra imeharibika kabisa.Kila wkaipanda jukwaani wasikilizaji wanataka hela yao.

Sasa hivi CCM inapandisha watu waliosoma tuition kupambana na real geniuses, master of this games.CCM km brazil iliyoingizwa kucheza na Ujerumani mbele ya wananchi wao. Ndipo siku wananchi wao walivyojua kuwa timu yao haikuwa km ilivyokuwa ikisifiwa.

Nani tena kati ya wale viongozi wa ini walikuwa ktk media kila siku wakipewa heshima kubwa ili watoe matamko yenye kuogoza akili za watu,kujenga hofu km vile mwishowa dunia bila ccm utakuwa dkk hii hii. (Dj aliwatupia Zigo la Ukuta sidhani km watarudi tena hadharani).

Wapo wapi tena manguliu wa university of Dar?wametumika wote na kuonekana hakuna kitu.Hata pale kila media na vyombo vya dola vilivyojaribu kuwalindaa na kuwaongezea uzito wapi.Kwa ujumla wamepigwa K.O. Kila wakiamka wenge linawavuta nyuma.

lipo wapi tena Bunge la kufanya kazi ya ccm na kuweza kimbia bila hatia ya mauaji?Sasa hivi Bunge lipo uchi kuliko,hakuna kitu wanaweza fanya dkk 5 wananchi wasiwe na hasira zaidi.

Wakuu wa wilaya na mikoa wameshageuka kufanya kazi ya kuadhibu ccm wenzao na makundi yao ya ndani.Km ilivyo kwa jambazi aliyogopa ugenini,kurudi nyumbani na kuanza kimbizana kuibia mama zao nyumbani kwa vile wanajua huko ni rahisi na salama zaidi.

CCM Lazima ichague kumheshimu sana DJ na si kumchukia tena.Kwa vile kumchukia zaidi ni kujihatarisha zaidi.

BADO NAJIULIZA IPO WAPI ORCHESTRA YA CCM,IMEPATA CANCER?AU ILIONDOKA NA ZILE BAND ZETU SIJUI ?
 
Kuna mtu nilimwambia humu kuwa, ccm was designed to function as team not as a one man show.. Akabisha
DJ aliona hiyo siku anazimisha ukuta ndipo alimaliza rasmi kundi la viongozi wa dini."KWANI SISI NI NANI HADI TUACHE KUWASIKILIZA VIONGOZI WETU WA KIROHO". Hadi leo sijui utamwita nani tena .Yule Shehe kijana wa Dar?Mzee wa upako? au wale wakubwa kabisa?
 
nyimbo haziimbiki tena,watunzi mahiri hakuna Tena...siku hizi wanacheza ngoma za DJ tu
Joseverest
CCM imejengwa ktk UJUMLA WA UONGO UNAOITWA UJAMAA.Siku tofali moja linameguka mengine nayo hayana support,nayoyanafuatia. Ilianza km jokes.Kuanzia bungeni akina werema wakaanza jitambua kuwa akina Lissu walikuwa madarasani kwao ila hwakuwa wanafunzi wao.Baadae wakajikuta mahamakamani akina Lamwai kuwa kesi zao hawakuwa wanashidan,ila walikuwa akilindwa na mfumo mzima uliokuwa ukiongeka, ukishinikwa kisiasa dhisi ya watu wasiokuwa na sheria makini, pia akina Lawai walikuwa wakikutana na wanafunzi wao au wanaotegemea kujiunga na madarsa yao. Taratibu akina ZZK wakaanza jitambu akuwa hawawezi kuwa wakubwa kuliko vyama, hadi sasa.
 
Mwenyeti haangaiki kumwagilia maji mashina yaliopo Tanzania nzima anachofanya nikukata maji.

ccm inahali mbaya.

BIG UP DJ. najua LOWASA the silent KILLER Anasuka mabomu namhurumia MAGU hajui mamvi halali ashapenyeza SUMU ya upinzani ndani ya CCM.

Maguful jiandae kisaikolojia kwa usaliti ndani ya chama.

mara MANGE, mara LISU mara PONDA mara NAPE akirud huku MANJI

nyie wanaLUMUMBA mwambieni mwenyekiti wenu hakuna jambo linatokea BAHATI MBAYA.
 
Hivi hizi nguvu zote mnazozitumia humu kuelezea kitu kidoogo kama Bendi ya CCM,kwanini msizielekeze kushauri chama chenu kijenge hata ofisi ya maana?,.,CDM ina umri wa miaka 25 kwanini isianzishe gazeti la chama?,TV ya chama,hata basi jengeni ofisi yenye hadhi?,.,au ndo mambo ya Nyani haoni kundule??
 
Teh teh. the Crazy thing about DJ(CCM hawakukosea ingawa walitafsiri vibaya ) na Lowassa ni hiki. Walipokutana wakajuana kwa vilemba. Nilichocheka ni siku Lowasa aliwa jukwaani alisema 'Nilikuwa najua Mwenyekiti anajua siasa Ila SIKUWA NAJUA NAIJUA KWA KIASI HIKI '. watu wengi hawakusikia vyema. Sijui siku walikutana na Maalim ilikuweje. Mbatia na wengine. Hawa wanaweza waongea lugha nzima kwa kuangalina tuu.
 
Mnajipa moyo tu,huyo mamvi mpaka 2020 atakuwa anapumulia mipira tu.Kama ana ubavu apite tena makanisani na misikitini agawe pesa kama alivyokuwa anafanya kabla ya 2015?,yule alikuwa na vibaraka wa kusaidia michango ya shilingi ili kujiandaa kugombea uraisi,mizizi yote imekatwa na kabanwa kodi.,na akina Rostam wameshasoma mchezo mzima,hawawezi toa pesa tena.Kampeni ijayo utafurahi mwenyewe.Ila mmejaa mapenzi hamuwezi kuelewa sasa hivi mpaka muda ukifika ndio mtaelewa.
 
CCM kama CCM walijenga ofisi wapi? Hebu elezea ofisi ya baada ya 1992 ya CCM ya maana waliyojenga pamoja na kukwapua viwanja vya michezo na kujikusanyia mapato
 
Mnajipa moyo tu,huyo mamvi mpaka 2020 atakuwa anapumulia mipira tu.Kama ana ubavu apite tena makanisani na misikitini agawe pesa kama alivyokuwa anafanya kabla ya 2015?,yule alikuwa na vibaraka wa kusaidia michango ya shilingi ili kujiandaa kugombea uraisi,mizizi yote imekatwa na kabanwa kodi.,na akina Rostam wameshasoma mchezo mzima,hawawezi toa pesa tena.Kampeni ijayo utafurahi mwenyewe.Ila mmejaa mapenzi hamuwezi kuelewa sasa hivi mpaka muda ukifika ndio mtaelewa.

Apite makanisani na misikitini akafanyaje? ushaona wapi MSINGI unajengwa mara mbili ccm nakuiba kote bado alipata kura 6,000,000

LOWASA anakunywa juice uku akiangalia FORMULAR yake ya 442 namna inamnyima MAGU usingizi.

KUBALINI MATOKEO CCM inahali Mbaya kupita kipindi cha KIKWETE.

nyie bishaneni msitafute TIBA ya haraka 2020 mje Mgombaniane KURA na TLP MSEME HATUKUWAAMBIA.
 
Teh teh. the Crazy thing about DJ(CCM hawakukosea ingawa walitafsiri vibaya ) na Lowassa ni hiki. Walipokutana wakajuana kwa vilemba. Nilichocheka ni siku Lowasa aliwa jukwaani alisema 'Nilikuwa najua Mwenyekiti anajua siasa Ila SIKUWA NAJUA NAIJUA KWA KIASI HIKI '. watu wengi hawakusikia vyema. Sijui siku walikutana na Maalim ilikuweje. Mbatia na wengine. Hawa wanaweza waongea lugha nzima kwa kuangalina tuu.

ubongo wa MBOWE ni sawa na ubongo wa akina POLE POLE wawe 76,560.

mbowe anajua kupangalia hoja anaongea kwa mtiririko huwezi mfananisha na MWENYEKITI WA CCM.

HOTUBA Moja ya MBOWE ni sawa na HOTUBA 120 za MAGU.
 
Back
Top Bottom