Reuben 26
Member
- Oct 31, 2018
- 65
- 59
Habari ndugu zangu kutokana na ajenda inayotuchanganya na inayoashiria umasikini ni hii inshu ya kusajili laini kwa njia ya kisasa hasa kwa finger print na kua na kitambulisho cha utaifa wa tanzani ili hali ni asilimia 0.7 ndo wenye vitambulisho hivyo nini lengo lao hasa maana yake ni kwamba huyu head boy wa nchi hii anajua kilichotokea sudani hivyo anaona jinsi watu wanavyompinga yeye ndo maana ameamua kufanya hivyo ili tukose pa kusemea.alafu utakuna na nzi wa lumumba anamsifia nawaambia tutajuta baadae pia wanasheria kazi yenu ni nini mko wapi huu ndo muda sahihi wa kujitokeza kuwatetea wanyonge natabiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app