Kwa mara ya kwanza baada ya miaka kadhaa tutaanza mwaka mpya bila utabiri/uongo wa yule kipenzi cha Ikulu Sheikh ....
Au kuna mtu mwingine anaweza kutupa utabiri wa mwaka 2012?
Utakuwa mwaka wa wafanyakazi secta ya umma kukosa mishahara yao ya kila mwezi kwa wakati,hawatapandishwa vyeo,na utakuwa mwaka wa CHADEMA kupata wafuasi wengi kuelekea 2015,pia utakuwa mwaka mugumu kwa serikali kuhusu mchakato kupata katiba mpya
ah haaa haaa haa..........mkuu umenkumbusha moja ya washauri na waasisis wa awamu ya nne wa pale magogoni,mana ndo alikua mtabiri wa nchi kupitia magogoni pale
Kumbe yule ... Hakuacha wafuasi wengi basi inabidi tumshukuru Mungu maana hakuna wakutisha watu kwa Mwaka 2012 ikizingatiwa pia utakuwa ni mwaka ambao CCM watafanya uchaguzi wao mkuu.
ah haaa haaa haa..........mkuu umenkumbusha moja ya washauri na waasisis wa awamu ya nne wa pale magogoni,mana ndo alikua mtabiri wa nchi kupitia magogoni pale
lol... Yaani JK ameturejesha enzi zile za Mafarao wa Misri....ambapo jamaa alikuwa na jopo la wachawi wa kumsomea hali ya upepo wa kisiasa na uchumi na maadui zake...!
Ok, tugange yajayo wazazi..!