Natabiri Bashiru kuwa Waziri Mkuu

Jamani Watz mmekuwa vilaza , siusome katiba , Mbunge wakuteuliwa hawezi kuwa Pm
Mataga jiwe aliwaharibu sana. Wanaona kila kitu kinaweza kufanyika Bila utaratibu. Bashiru huyo aliyepachikwa ubalozi uchwara bado wanamtabiria uPM.
 
Hahhaha....bashiru anajipigia ngoma ndogo, asijisifie vyeo vya mbeleko bali ajijenge mwenyewe tuweze kutambua uwezo wake.
Bashiru ndiye mtanzania pekee mwenye sifa hizi
1. Balozi na hajawahi kuwakilisha nchi popote
2. Katibu mkuu kiongozi na hajawahi kufanya kazi yoyote kwenye nafasi hiyo.

Hizi zote ni mbeleko alizokua anapachikwa na jiwe ila Mungu katimiza mapenzi yake
 
Wewe ni muongo, Bashiru na Doto wanatakiwa kuwa Segerea sasa hivi wakiwa ni wa.ke wadogo wa nyampara mkuu.
Hii ni awamu ya 6.
 
Hivi huna habari kuwa mvunja katiba hayupo tena?
 
Ilo haliwezekani, ila Bashiru atakuwa politician mwenye nguvu sana ndani ya CCM.
Hujui ccm wewe yani stoke zake mlimani kufundisha wanafunzi aje awe mwanasiasa mashuhuri subur atafute jimbo 2025 ndo utajua
 

Kwa mujibu wa katiba Waziri Mkuu lazima awe mbunge wa kucha hukuwa (jimboni)
 
Msishangae saaana,Inawezekana,No one know the future,Future is Mystery
 
Sifa za kuwa PM ni lazima awe Mbunge aliyechaguliwa kwa kura nyingi sana au kupita bila kupingwa jimboni kwake. Bashiru ni mbunge wa kuteuliwa.
 
Umekula Nini mchana huu? Ulisoma SoMo la civics? Hukufumdishwa jinsi waziri mkuu anavyopatikana?
Nakufundisha bure hapa:-
Waziri mkuu hupendekezwa kutoka kwa wabunge wa kuchaguliwa kutoka kwenye majimbo ya uchaguzi na hupendekezwa na rais kwa kumpeleka jina lake kwa spika wa bunge na hupigiwa Kura na wabunge kumthibitisha.
Naamini umeelewa vizuri.
Swali; Bashiru ni mbunge anayewakilisha Jimbo lipi? Je, alipigiwa Kura na wananchi wa Jimbo gani la uchaguzi?
Majibu ya maswali hayo mpostie Bashiru akusahihishie!
 
Ilo haliwezekani, ila Bashiru atakuwa politician mwenye nguvu sana ndani ya CCM.
Mh. Bashiru hawezi kuwa na nguvu ndani ya CCM, hana pesa, hana connection, hana supporters hana wafuasi na hana ushawishi. Kitu pekee alichokuwa nacho ni Hayati JPM na sasa hayupo, kitu pekee ambacho kitaweza kumbeba ni utulivu, uaminifu, unyenyekevu na utii kwa wenye mamlaka.

Bado ana nafasi ya kuaminiwa anaweza kupewa hata ukuu wa chuo, ubalozi au taasisi.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wewe uende peponi moja kwa moja. Bila JPM kwa CCM tunayoijua Bashiru hapati hata ukuu wa mtaa
 
Mkuu uwe unajua katiba inasemaje kuhusu nafasi ya waziri mkuu.
Kwa mujibu wa katiba waziri mkuu atateuliwa kutoka jibu la uchaguzi, na LAZIMA atokane na chama chenye wabunge wengi bungeni.
Hivyo ili Dr Bashiru awe waziri mkuu,ni LAZIMA Kwanza akagombee ubunge kwenye Jimbo la uchaguzi,kiisha chama chake kiwe na idadi ya wabunge wengi,na kubwa kuliko yote ateuliwe na rais kwa nafasi hiyo.
 
bashiru kiboko cha wana mtandao na vigogo majizi , Mungu atamsimamia japo kuondoka kwa mwenda zake ni pigo kubwa kwake,lakini naamini atasimama tena kwani tayari ameshakoma na anaijua CCM ndani nje
 
waziri mkuu wako??
 
Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.
JPM aliyasema yale akiwa kijiweni
Bashiru aliyasema aliyosema jukwaani mbele ya mkutano
 
Anza kwanza kujitabiria wewe vitu vizuri badala ya watu wengine ambao wao washaukata...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…