balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,792
- 15,578
Labda akagombee ubunge kwao Bukoba vijijini vinginevyo kwa ubunge wa kuteuliwa katiba inamkataliaWengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.
Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.
Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Hakika " Amtegemeaye mwanadamu amelaaniwa asema bwana"Tanzania ni yetu sote
MATAGA - Make Tanzania Great Again
Mungu ibariki tanzania
😂😂😂😂Mkuu omba mods wakufutie maana hii ni aibu
Mod muwe mnafuta thread za kipumbavu.Jimbo huru
Kwani amekwambia anaenda kupata uteuzi kipindi hiki?Katiba umesoma vizuri inasema Mbuge yupi anaweza kuwa Waziri Mkuu?
Kwa kadri ninavyoelewa (naweza kuwa wrong), waziri mkuu hutokana na wabunge wa kuchaguliwa majimboni.Wengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.
Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.
Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Bashiru ni kiongozi asiye na taama ya mali wala madaraka. Si mlopokaji, ni mtulivu sana. Amepokea mabadiliko anaendelea na kazi aliyopewa. Tujikumbushe nyuma kidogo, huko nyuma kuna mawaziri walitumbuliwa wakapiga kelele matusi na kuonyesha kutoridhika kama vile walizaliwa na uwaziri. Lakini Mh Mwigulu na Simbachawene ( simba hula anachokiona) walikaa kimya kwa utulivu na kazi zikaendelea. Leo tunawaona walipo. Wote wameshika wizara nyetiWengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.
Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.
Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Na mara nyingi Mh. Kigogo 2014 amesema huyu jamaa ni mchawi,hivyo hilo la kuua Mbunge mmoja ili akagombee kwa nia ya kuupata uwazi mkuu labda kweli inawezekana.Kwa kadri ninavyoelewa (naweza kuwa wrong), waziri mkuu hutokana na wabunge wa kuchaguliwa majimboni.
So ili Bashiru ashike nafasi hiyo chini ya awamu hii itabidi kwanza "aue" mtu jimbo lolote itakayopelekea uchaguzi mdogo halafu atangazwe na NEC (maana CCM wakilitaka jimbo wao ni kuiaigiza NEC tu cha kufanya!).
#KATIBAMPYANILAZIMA
Umekosa Cha kuandika? SI ungeandika hata mambo ya kuku na sikukuu ya kesho.Wengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.
Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.
Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Lini sasa?Wengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.
Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.
Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Tanzania ni yetu sote
MATAGA - Make Tanzania Great Again
Mungu ibariki tanzania
Waguma!Waziri mkuu lazima awe mbunge wakuchaguliwa wewe mleta mada
Watu kama hawa ukiwaambia wakasome katiba kwanza wanaona kama unawatukana.Katiba umesoma vizuri inasema Mbuge yupi anaweza kuwa Waziri Mkuu?