Natabiri Bashiru kuwa Waziri Mkuu

Jitahidi uwe unaipitia Katiba mkuu.
Kwa mujibu wa Katiba ya sasa Bashiru hawezi kuwa Waziri Mkuu, labda mpaka uchaguzi mkuu ujao upite.
 
Tatizo wabongo umuch know mwingi sana ona sasa mtoa mada yamemshuka. 😂😂
 
Bashiri simuamini tena.nadhani kauli zake zinaongozwa na mihemuko.hawezi kutudanganya kwamba ule ulikuwa uteuzi wake wa mwisho asingeweza kukubali kuteuliwa tena. amekubali teuzi mbili haraka haraka. Halafu siyo kwamba ni mtu wa kawaida kawaida tu,huyo ni msomi mbobezu .
 
Waziri mkuu kutokea jimbo lipi la uchaguzi
 
We ni kiazi
 
Aende zake huko huyu mpuuzi, cheo kinachomfaa ni kuwa nyambara gerezani
 
Haiwezi kua kwamba katika watz mil 60 BASHIRU ndo kila kitu, tz ina majembe wengi tu sema vipaji vyao vya uongozi havionekani kutokana na ile kitu mtandao , juzi si umeiona chuma kimetokea japan kimeletwa ikulu? Na chuma kingine kikachukuliwa na kupelekwa wizara ya Mambo ya nje,so who is BASHIRU by the way
Ilo wazo lako halijitokea tena ndo imetoka mkuu
 
Hata Elimu ndogo tu ya civics hujui halafu unaleta mambo makubwa ya utabiri ?
 
Yawezekana, maana hakuna lishindikanalo chini ya jua.
Wengine wanatabili anaweza pia kuukwaa Uspika...... endepo tu aliyepo akiamua kupumzika..
 
Kwa serikali ya sisiem hilo linawezekana na wala sio Ajabu...

So endelea tu na ndoto as long as sisiem ndio ipo madarakani ndoto inaweza tokea
 
Hizi "rumours" kwamba ametafuna hela za mazishi ni kweli?
 
Waziri Mkuu lazima awe Mbunge wa kuchaguliwa na wapiga kura kupitia jimbo la uchaguzi. Labda awe waziri wa kawaida. Huyu anafaa utawala bora maana ni political scientist.
Usidanganyike hivyo eti utawala bora anafaa awepo political scientist hakuna kitu kama hicho.

Hata dentist anaweza kuwa waziri wa utawala bora provided ana AKILI TIMAMU.
 
Watu wengine mkiambiwa muende shule mnatoroka ona Sasa unaleta mada ya kuonesha ujinga wako.
Bashiru ni mbunge wa Jimbo gani Hadi awe PM?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Katiba umesoma vizuri inasema Mbuge yupi anaweza kuwa Waziri Mkuu?
Vijana hawadurusu Katiba hawa hebu akapitie Ibara ya 51(2) cha katiba yetu kisha arudi hapa kutuambia alimaanisha nini?
 
Watu mnajua kuropoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…