Natabiri anguko la CCM Octoba 25/2020

Natabiri anguko la CCM Octoba 25/2020

Wasalaam, kufuatia ujio wa kachero Benard membe ktk chama cha ACT ni wazi ccm wanaenda kung'oka rasmi madarakani kwa aibu. Hili litakamili endapo vyama vyote vya upinzani ukitoa CUF vitasimamisha mgombea mmoja na kumuunga mkono, ikubukwe 2015 ccm ilibebwa na vyimbo vya dola ikanusurika.

Ikubukwe tangu Tanzania ipate Uhuru imekua ikiongozwa na wawakoloni weusi ccm na wameigeuza nchi ya kifalme ya kuongozwa na babu hadi mjukuu, ukoo hadi ukoo hakuna haki za kidemocrasia angalia Bunge letu, angalia mahakama zetu haziko haziko huru, police wetu wamejiunga na ccm nani atatetea wanyonge?

Rai yangu kwa wananchi wa Tanzania angalie tulipotoka na tulipo umasikini wetu tulionao tulipewa na hawa ccm wakoloni weusi, hawa wametuibia sana keki yetu na bado wanalindana hata sasa, chama kimechoka kinahitaji kupumzishwa na mm na ww kwa manufaa ya Tanzania mpya.

Kizazi hiki cha giza na upofu nilikibaini tangu 2015- kama wewe ndiyo aina watanzania tulionao basi nchi hii itakuwa inaongoza duniani kwa kuwa na watu wenye uelewa zero brains. Nakukumbusha kidogo kuwa ‘Kachero yuko kazini” hadi kieleweke. Yajayo yanafurahisha.
 
Wasalaam, kufuatia ujio wa kachero Benard membe ktk chama cha ACT ni wazi ccm wanaenda kung'oka rasmi madarakani kwa aibu. Hili litakamili endapo vyama vyote vya upinzani ukitoa CUF vitasimamisha mgombea mmoja na kumuunga mkono, ikubukwe 2015 ccm ilibebwa na vyimbo vya dola ikanusurika.

Ikubukwe tangu Tanzania ipate Uhuru imekua ikiongozwa na wawakoloni weusi ccm na wameigeuza nchi ya kifalme ya kuongozwa na babu hadi mjukuu, ukoo hadi ukoo hakuna haki za kidemocrasia angalia Bunge letu, angalia mahakama zetu haziko haziko huru, police wetu wamejiunga na ccm nani atatetea wanyonge?

Rai yangu kwa wananchi wa Tanzania angalie tulipotoka na tulipo umasikini wetu tulionao tulipewa na hawa ccm wakoloni weusi, hawa wametuibia sana keki yetu na bado wanalindana hata sasa, chama kimechoka kinahitaji kupumzishwa na mm na ww kwa manufaa ya Tanzania mpya.
Utabiri wako unaelekea kuwa kweli....
 
Kama.
Mgombea atakuwa Membe tukutane kwenye vilio 2021
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom