nata kusafirisha hoho

Joined
Feb 8, 2017
Posts
79
Reaction score
27
wakuuu habar zenu...nataka kusafirisha pilipili hoho toka mbeya kuja dar..ipi ni njia ya bei nafuu na salama ili zisibondeke
 
Ndani ya hizo pilipili huweki madawa ya kilevya
 
Tengeneza box LA mbao kama LA nyanaya au tenga zunguushia makaratasi magumu yaani mabox mpaka chini zipange kwa mapangilio mzuri sana yakisha jaa funika kwa hayo makaratasi funga tena na mbaojuu yake hapovzitafika salama zaidi
 
Siku hizi zile nyekundu na njano zimegundulika kuwa na virutubisho vingi zaidi ya hoho za kijani
Changamkia fursa japo bado mahitaji si makubwa sana lakini bei zake kubwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…