Nat Geo Wild and Tanzania Tourism

Nat Geo Wild and Tanzania Tourism

Joined
Dec 4, 2013
Posts
24
Reaction score
4
Kila mara nikiangalia hii channel nakuta almost wild animals stories zooote wanazoonyesha ni kutoka Tanzania..Swali nnalojiuliza hv mpunga tunaopata kutokana na Tourism ndani ya nchi yetu Tanzania huwa unaenda wapi? Nahisi Tourism tu peke ake inaweza kutatua janga la maji safi kwa wananchi na matatizo mengine mengi tu kama ikisimamiwa vizuri.
 
Itabidi waziri wa utalii ajibu hii swali?
 
Hivi kupata chance ya kufanya nao kazi hao watu wa Nat Geo inakuwaje maana nina usongo nao sana
 
Kama humu JF kuna mtu wa TANAPA anaweza kutujuza huwa wanalipa kiasi gani hawa wageni kwa ku-shoot hizi wild animal life stories coz i real guess wanapata pesa nyingi sana wakipeleka hizi videos kwenye hii channel.TANZANIA ni nzuri sana aisee..
 
Titus kamani ni dk wa wanyama sio?
 
Kila mara nikiangalia hii channel nakuta almost wild animals stories zooote wanazoonyesha ni kutoka Tanzania..Swali nnalojiuliza hv mpunga tunaopata kutokana na Tourism ndani ya nchi yetu Tanzania huwa unaenda wapi? Nahisi Tourism tu peke ake inaweza kutatua janga la maji safi kwa wananchi na matatizo mengine mengi tu kama ikisimamiwa vizuri.
Somo zuri na ushauri huu ni wakizalendo, Mkuu ulonena ni utaifa wa hali ya juu kwani masilahi ya nchi ni kujitambua tunapopata hisia Fulani zinozotupitia thru media!!Ubarikiwe
 
Media kama hizi tukizitumia vizuri itakuwa safi sana. Najua hata wahusika wanapitaga humu kutafuta yanayowahusu waone jamii inasemaje. Lets try to change this beautiful nation. Awareness is one of them
 
Kwa bahati mbaya zaidi, hawalipii hata shilingi kuchukua hizo picha. Wanaingia mbugani kama watalii, wanaanza kuchukua mikanda na kujifunza, kupitia wasisdizi wa Kitanzania, na kisha wnaondoka zao kwenda kupiga mkwanja zaidi, huku 'mazuz' tukifurahia tuu kana kwamba tumelogwa. Hili swala lilishawahi kuzungwa Bungeni na Wabunge, kwa jazba kama kawaida, likapita. Wadanganyika...aliyetuloga, alitulogea baharini??
 
Ndugu Mgosi kweli upo well forecasted!! yaani upeo wako ni wa mbali na unalenga penye masilahi ya wengi, wotewanufaike!! Wazungu wanateremka na vifaa vyao(Cameras na photo equipments) wanachukua mandhari na picha na masomo kuhusu hali halisi na kutoa productionza maana, Nasi tunambulia peanuts !! Mpendwa god bless you ad good luck.
 
hii mada ni nzuri sana, yasije kuwa yaleyale ya kununua shanga kwa dhahabu. Tukumbuke ukoloni mamboleo upo.

itakuwa aibu kama some years later watoto wetu watasoma history kuwa wazungu walitumia rasilimali zetu kujinufaisha wao.

ninavyowajua watoto wa leo watauliza;
mlikuwa wapi?

Tutajibu nini?
 
Kwa bahati mbaya zaidi, hawalipii hata shilingi kuchukua hizo picha. Wanaingia mbugani kama watalii, wanaanza kuchukua mikanda na kujifunza, kupitia wasisdizi wa Kitanzania, na kisha wnaondoka zao kwenda kupiga mkwanja zaidi, huku 'mazuz' tukifurahia tuu kana kwamba tumelogwa. Hili swala lilishawahi kuzungwa Bungeni na Wabunge, kwa jazba kama kawaida, likapita. Wadanganyika...aliyetuloga, alitulogea baharini??
Well said... exactly nchi mwenye akili hugeuziwa kibao!!
 
mbona naona kama vile wanatusaidia kututangaza maana mtu anapoona vile ni lazima atakuwa interested kutembelea vivutio vyetu. nadhani hii kitu inaleta mutual benefit yaani wao wanafaidika na sisi pia tunafaidika
 
Kama humu JF kuna mtu wa TANAPA anaweza kutujuza huwa wanalipa kiasi gani hawa wageni kwa ku-shoot hizi wild animal life stories coz i real guess wanapata pesa nyingi sana wakipeleka hizi videos kwenye hii channel.TANZANIA ni nzuri sana aisee..

Filming permit bongo Usd 1000. Ukipewa permit unaruhusiwa kupiga video na kurekodi sauti for a period of three months. Nchi wajanja unalipia permit for a specific project uliyoombea na si vinginevyo. Yes wanatengeneza pesa sana tu hawa jamaa bongo mteremko bana unajiachia miezi mitatu porini ukirudi kwenu una material za kurusha vipindi mwaka mzima.
 
mbona naona kama vile wanatusaidia kututangaza maana mtu anapoona vile ni lazima atakuwa interested kutembelea vivutio vyetu. nadhani hii kitu inaleta mutual benefit yaani wao wanafaidika na sisi pia tunafaidika

Kututangaza peke ake tu haitoshi. Lazima mkwanja tuuone pia mkuu
Wao wanapiga hela sana kwa kuuza hizi video. Nchi inapata nini?tuliangalie vizuri hili suala. Kama wanalipa hela nzuri zinaliwa ovyo pia tunapaswa kujua.
 
Filming permit bongo Usd 1000. Ukipewa permit unaruhusiwa kupiga video na kurekodi sauti for a period of three months. Nchi wajanja unalipia permit for a specific project uliyoombea na si vinginevyo. Yes wanatengeneza pesa sana tu hawa jamaa bongo mteremko bana unajiachia miezi mitatu porini ukirudi kwenu una material za kurusha vipindi mwaka mzima.

Kama ndo hivi basi hatari sana kwa Taifa hili. Inabidi kuangalia upya suala hili serious. Ngoja nifatilie kuuza film ya one hour ni pesa ngapi hapo Nat Geo Wild chanel.
 
Hivi kupata chance ya kufanya nao kazi hao watu wa Nat Geo inakuwaje maana nina usongo nao sana

Good spirit! Wanachoangalia hawa jamaa ni portfolio yako, hivyo ni vyema kama una portfolio ya kazi zako zinazoendana na wanachokifanya watumie or anza kuitengeneza sasa kama huna.
 
Samahani, portfolio ninayo..namna ya kuwatumia kidogo napata shida!
 
Back
Top Bottom