Nasumbuliwa na vipele vidogo vidogo ukeni

Nasumbuliwa na vipele vidogo vidogo ukeni

amme9

Member
Joined
Jan 30, 2022
Posts
36
Reaction score
44
Nimekuwa nikisumbuliwa na vipele vidgo dogo kwenye Kuta za uke mda mrefu sana nmaeenda hospital nyingi nmepewa dawa nyingi natumia lakn hamna mabdiliko, anayefahamu dawa ya huu ugonjwa

Ni vinafanana na hivi vya kwenye hii picha

Screenshot_20221106-155036.jpg
Screenshot_20221106-155036_1.jpg
 
Nimekuwa nikisumbuliwa na vipele vidgo dogo kwenye Kuta za uke mda mrefu sana nmaeenda hospital nyingi nmepewa dawa nyingi natumia lakn hamna mabdiliko, anayefahamu dawa ya huu ugonjwa

Ni vinafanana na hivi vya kwenye Ii picha

View attachment 2408515View attachment 2408517
Utakuwa na ugonjwa wa Behcet disease. Nenda kwa daktari akuandikie dawa za colchicine au Azathioprine!
Kama una dalili za vidonda vya tumbo akuandikie hii ya pili.
 
Nenda kwa gyno wapo wengi sana. Nenda SMV hospital Iko ilala bungoni ni ya kina mama wa kiislam. Hospital ya wanawake tu hakuna hata daktari mwanaume. Kuna madoctor specialist hapo. .

Wanachukua sample wapime Kuna magonjwa mengi sana usiwe unachukua ushauri mtandaoni ambao Hauna vipimo. .

Fanya hivyo utakuja kunishukuru na ukichelewa mambo kama haya yatakukula kizazi unaweza shangaa damage ikawa kubwa. Nenda pale hospital Kuna madaktari wengi wa wanawake omba kukutana na gyno. .

Pole sana Mungu akutangulie inatosha. .
 
Nimekuwa nikisumbuliwa na vipele vidgo dogo kwenye Kuta za uke mda mrefu sana nmaeenda hospital nyingi nmepewa dawa nyingi natumia lakn hamna mabdiliko, anayefahamu dawa ya huu ugonjwa

Ni vinafanana na hivi vya kwenye Ii picha

View attachment 2408515View attachment 2408517
Such a grotesque looking mbususu 😲😲😲 Depal u wer ryt, mbususu is ugly looking🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom