Nasumbuliwa na vipele vidogo vidogo ukeni

Nasumbuliwa na vipele vidogo vidogo ukeni

Nikijaribu kupiga picha havionekan vizr lakn ni kama vya kwenye iyo pic apo ju
Nikijaribu kupiga picha havionekan vizr lakn ni kama vya kwenye iyo pic apo ju
weka tu hyohyo isiyoonekana vizuri, Simu yangu inauwezo mkubwa sana nitazoom na kukupa mrejesho wa tatizo wako.. ukiona shame zaidi nitumie hata PM..
Pole sana sana Madam
 
Utakuwa na ugonjwa wa Behcet disease. Nenda kwa daktari akuandikie dawa za colchicine au Azathioprine!
Kama una dalili za vidonda vya tumbo akuandikie hii ya pili.
Mkuu ufafanuzi tafadhari , vidonda vya tumbo vinahusiana vipi na hilo tatizo??
 
Paka asali, nyoa kwa mashine sio kiwembe, ukilala usivae chupi, usioshe k yako na sabuni, kama hujazaa tafuta mtoto mapema

Nakumbuka kuna Dr aliniambia asali haijaribiwi Ukeni inaharibu bacteria wazuri

Dada chemsha karafuu uache usiku mzima uwe unakunywa Kama maji yako ya siku nzima
 
Pole cute,usiioshe kwa sabuni Mara kwa Mara....bora utumie kuoshea maji ya karafuu ni tiba tosha
Ila wanawake tuna maajabu unakuta mtu anaoshea mavitu kibao na masabuni mara aingize mavidole huko ...

Mimi niliambiwaga niache kuoshea masabuni na kuingiza mavidole zaidi ya miaka 10 iliyopita nikiwa Binti ninayechipukia, mpaka leo nmejiepusha mengi sana na hamna tofauti kusema sijui nanuka nn

Uke una matatizo chungunzima mengine ndo kama hayo sasa
 
[emoji849][emoji15] Kwa hio kabla haujakatazwa ulikua unayaingiza mavidole mangapi mkuu? Sorry, for this question
Sikua naingiza ila ilikua ukikaa na wanawake wanakwambia ingiza sijui kidole utoe utoko
 
Back
Top Bottom