Nasumbuliwa na tatizo la low blood pressure

Nasumbuliwa na tatizo la low blood pressure

Nami nakiomba. Natanguliza shukurani za dhati toka uvunguni kwa moyo. Asante sana Mkuu. Ubarikiwe.
Nimejaribu kukipandisha DM kwako nimeshindwa

Hiki kitabu nilikinunua Dola 37 kina elimu nzuri sana.

Kama Kuna njia nyingine ninaweza kikurushia siwezi kuuza hata Kwa sh. 1 ... Kusaidia mtu kwangu ni sacrifice kiroho. Ni sadaka.
 
Attachments

  • Screenshot_20250922-233151.png
    Screenshot_20250922-233151.png
    1.7 MB · Views: 18
Tatizo nimekuwa nalo Kwa mwezi mmoja sasa, nilianza kujihisi dhaifu wa mwili kwa wiki kadhaa na pia kuanza kupata maumivu mepesi mepesi eneo la moyo pamoja na bega pamoja na mkono wa kushoto.

Katika kujitafakari nilipojipima blood pressure nikagundua kumbe ipo chini, hilo tatizo wiki ya pili sasa kila nikijipima tena hali ndio ile ile. Naombeni ushauri wakuu
Epuka vyakula vinavyoshusha pressure, epuka matumizi ya vitunguu swaumu.

Pendelea kunywa soda Pepsi inapandisha kiaina pressure.
 
Tatizo nimekuwa nalo Kwa mwezi mmoja sasa, nilianza kujihisi dhaifu wa mwili kwa wiki kadhaa na pia kuanza kupata maumivu mepesi mepesi eneo la moyo pamoja na bega pamoja na mkono wa kushoto.

Katika kujitafakari nilipojipima blood pressure nikagundua kumbe ipo chini, hilo tatizo wiki ya pili sasa kila nikijipima tena hali ndio ile ile. Naombeni ushauri wakuu
Nenda hospital kubwa kapime na upate ushauri! Unachoeleza hapa ni kama vile ni dalili za angina…
Fika mapema hospital kubwa kupata vipimo na ushauri, kumbuka huo moyo wako Ndo engine nzima ya mwili wako.
 
nenda hosp achana na washauri uchwara wa Jf.
wehu wanakuambia unywe ma soda. soda ni madhara matupu.
 
Tatizo nimekuwa nalo Kwa mwezi mmoja sasa, nilianza kujihisi dhaifu wa mwili kwa wiki kadhaa na pia kuanza kupata maumivu mepesi mepesi eneo la moyo pamoja na bega pamoja na mkono wa kushoto.

Katika kujitafakari nilipojipima blood pressure nikagundua kumbe ipo chini, hilo tatizo wiki ya pili sasa kila nikijipima tena hali ndio ile ile. Naombeni ushauri wakuu
Mkuu pole kwa hayo maradhi yako ya presha ya kushuka hebu nitafute kwa wakati wako işili nipate kukutibia maradhi yako uweze kupona kabisa uguwa pole.
 
Kunywa maji yakutosha, epuka matumizi ya chumvi au tumia kidogo. Pendelea vyakula plant based hasa mbogamboga na matunda yenye sodium nyingi.
Mazoezi, epuka ngano ili kuto adhiri utumbo zaidi / colon.
Tafuta tiba either herbalist au MD
 
Wakuu mi mhanga wa asthma,
nilizaliwa nayo ikapotea hapo kati imerudi kwa kasi uzeeni.
Ikinibana hata njiani naweza kuanguka mpaka nipate pumzi.
Hewa safi tu.
Hapo kizunguzuzungu na kukosa nguvu, kutetemeka unatakiwa kupata mwanya tu bila kelele wala harufu.
Dakika 50-1 hr tatizo linakata.
Dawa zote zipo, ila huwa natumia tu pale nikizidiwa nyumbani.
Hayo magonjwa yanaendana nilipewa hiyo elimu nikiwa hospitali nimelazwa.
Mfumo wa figo na maini usipofanya kazi vizuri ndo unafanya kwamba chakula kisifanye kazi yake na kinaposagika hakipati support ya figo huku juu.
Then tumbo linajaa, we unaona una kitambi kumbe una tatizo la mfumo wa chakula kutokusagika.
Matokeo ni ugonjwa wa moyo.
Kwasababu mafuta yanakua yamezunguka kwenye moyo.
Badala ya moyo upate hewa yake ya kawaida unakua umezungukwa na mafuta ya kitimoto etc.
Ongeza bia baridi, soda, maji baridi mgando unaongezeka.
Mi kivizuri tu si mlaji sana,
(Nakula pale tu naona ntakufa)
Nikotin ndo shida, na kinywaji kiasi.
So wakulungwa angalieni afya zenu, au muyazoee maradhi tu msilalamike.
Mi na asthma yangu tunaelewana tu nikifanya ujinga inanilaza siku 2-5 ndani nikitoka hapo nna adabu.
Na situmii dawa ntakunywa maji lita zote kwa siku, matunda,mboga na yoghurt.
Nyama huwa ipo tu, ila kwangu ni extra.
Nakua fit kabisaa.
 
Unahitaji kupata ushauri tu waki afya na lifestyle tu utakula mema ya nchi kaka bila woga kwakuwa utajua nini chakufanya nipigie tuzungumze tu nikushauri then the rest ni wewe na kuzingatia nini chakufanya usiridiee na hali hii mara kea mara 0711553826 pia kwa yeyote mwenye kutaka msaada wa ushauri wakiafya anaweza piga muda wa 8 am to 6pm tujadili mambo ya afya kwa pamoja tufikie lengo la afya bora
Hamna shida mkuu,
Nimetibiwa miezi sita + niko fit hayo mambo ni experience tu nilipita nayo.
By the way ntakutafuta kwa muda nikizidiwa
 
Pole mkuu... Kama Una bando pitia nondo YouTube huko au Google utapata Abc's lakini siyo humu sikuizi ni udwanzi tu umejaa. Google kuna website moja hawa jamaa "Mayo clinics" wako vizuri sana kwa matatizo mbali mbali ya kiafya.

MUHIMU tu ngeli iwe inapanda coz content nyingi nzuri zipo katika lugha ya kiingereza. All the best na Mungu akusaidie hope utakuwa sawa mkuu.
 
Back
Top Bottom