Nasumbuliwa na mabaka usoni

Emmathias kasema

Senior Member
Jan 29, 2018
111
101
Habari wanajamvi, nasumbuliwa na mabaka usoni yalisayosababishwa na chunusi, naomba ushauri nitumie njia gani au dawa gani ili niwe soft?
 
Kuna face wash zinaitwa mentholatum,matoleo ya kwanza yalikuwa vizuri sana,matoleo ya sasa hivi quality kama imepungua hivi lakini jaribu..kama uko dar tembelea JD pharmacy..nunua hiyo face wash na scar remover
 
Asante Sana mkuu unfortunately sipo dar, nipo Kilimanjaro Ntajaribu kuulizia
Kuna face wash zinaitwa mentholatum,matoleo ya kwanza yalikuwa vizuri sana,matoleo ya sasa hivi quality kama imepungua hivi lakini jaribu..kama uko dar tembelea JD pharmacy..nunua hiyo face wash na scar remover
 
Kuna face wash zinaitwa mentholatum,matoleo ya kwanza yalikuwa vizuri sana,matoleo ya sasa hivi quality kama imepungua hivi lakini jaribu..kama uko dar tembelea JD pharmacy..nunua hiyo face wash na scar remover
Scar remover Shilling ngapi mkuu
 
Back
Top Bottom