Nasumbuka na uzazi

Pole sana Abbitto .

Miezi mitano bado ni michache kwa wewe kupata wasiwasi hata kama umepona.Hivyo endelea kusubiria.Wataalamu wanasemaga mtoto atakuja tuu akitaka kuja, hivyo usipanick wala kuwa na mawazo sana utapata mwanao.Hakikisha mnafanya yale mambo kila unapoweza usisubirie hadi pale unapohisi wewe(au kuona) kuwa upo kwenye siku za hatari.Usimpimie 😀😀

Pili, muombe na mmeo apime, na muende wote kupima.Ikiwezekana wewe ndiye uamue mnaenda kupima wapi;Nadhani umenielewa kwanini nimeshauri wewe ndiye uamue wapi pa kuchukulia vipimo...

La msingi usistress; ndugu/majirani/marafiki wanaweza wakawa wanauliza sana kuhusu mtoto na pengine wengine wanatoa kauli zisizo sahihi ila cha msingi usiwaze sana wanasema nini, furahia maisha, relax Abbitto .

I pray that mfanikiwe, mjaliwe hata mapacha.Sisi tunasubiria mrejesho hapa.Ukileta mrejesho utaniambia unaitwa mama nani.
 
Hahaaa thanx mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inabidi mtafute counselor wa mambo ya kufanya
 

Hii ni tatizo,shida itakuwa iko kwake,aende naye akapime,Pole sn.
 
Tapeli wewe unataka kumpiga dada wa watu hela kupitia shida zake.Hizo Dawa zako zimethibitishwa na mamlaka gani? Una elimu ya utabibu pamoja na vyeti vya kuthibisha hilo?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole sanaa S

pole sanaa Sis, je bwanashemeji yupo vzuri? amepima sperm count? unaweza ukawa unahangaika wewe kumbe bro anashida ya kutoa mbegu bora. Usikate tamaa miaka mitatu bado ni michache ukizingatia hii ni zawadi kutoka kwa M.Mungu humpa amtakaye na kwa muda autakae yeye.
 
umemshauri vyema ila vyakula vya sukari nyingi kama hivyo ulivyotaja ndivyo vinasababisha mwili umwage insuline kwa wingi na insuline ikiwa juu kwa muda mrefu inasababisha mvurugiko wa homone, mbada la wake ni kula vyakula ambavyo vinasisimua mwili kidogo ili mwili usimwage insulin kwa wingi pia isiwe juu kwa wingi kwa muda mrefu akifanya hivyo homone nyingi zitakaa sawa ambako kutamletea mafanikio makubwa kama tatizo lake ni la homone
 
awali ya yote nirudi kukupa pole yote hayo ni matatizo sasa yawezekana ni tatizo la kisaikolojia ama upande mwingine , kikubwa ni kumshauri vyema kusuhu kula, kulala, kupumzika na jitahidi kumpunguzia mawazo ka inawezekana alafu nawe uwe mbunifu maana yawezekana mwenzako anaweza jaribisha mahala mara akafunga 3-5, so jiangalie naweweee na jaribu kuangalia wakati mnaanza mahusiano mlikuwa hivyooo?
Kamwoneni mtaalamu ninyi nyote ukija ukieleza hapa tuuuu pasipo kufanyia kazi yale tukushauriyo sidhani ka utajenga
 
Kutokana na maelezo yako,we uko vizuri hata hospitali walichokonoa bure mirija yako ya uzazi;tatizo liko kwa mwanaume,atakuwa na uchache wa mbegu (low sperm) kwa kuthibitisha hilo naye aende hospitali akapimwe, asiwe mbishi ili apewe mchanganuo wa lishe na vitu vingine ili atimize lengo.Suala la kupata mtoto ni wewe na yeye,kwa hiyo pambaneni.
 
Kuna doctor mmoja kiboko ya hii mambo kwa wamama. Acha nitafute namba nikutumie PM
 
Hapa tayari pana shaka, ndoa zina changamoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa ushaur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakazia.
 
Fungus ili kupona inachukua miaezi 6 mpaka mwaka mzima kupona

Hapo Bado hypothalmo pituitary ovarian axis ikae sawa

Don't worry endelea na dawa after one year ndo tufanya assessment
 
Hapo kwenye limao sikua najua thanx

Sent using Jamii Forums mobile app
yaani inabidi ujikakague kwanza kama uvolation unapata, ule uteute kama egg whites unapata,hakikisha kwanza unaovulate ndo uendelee na mengine, lemon water inasaidia saaana,

magimbi, mihogo yaani hizi njia za asili kabisa, ule kabla hujapata ovulation kwa wingi, ila pia punguza kumuwaza huyo mtoto wakati unaendelea na Lishe bora utashangaa kipenzi.

halafu acha kabisa ile ya kujisafisha kwenye k huko unaweka mavidole sijui, yanaondoa bacteria wazuri wote walioko huko. inasababisha ugumba kujisafisha kwa style hiyo, sawa k inakuwa na mnato ilakavuuu na fertility inapungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…