Uchaguzi 2020 Nasubiri wasusie Uchaguzi Mkuu

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,258
1,541
Kama kweli chadema na ACT waligoma kwenye uchaguz wa wenye vit wa mitaa sababu ya kuminywa kwa haki na demokrasia Basi hata uchaguz mkuu nategemea watagoma

Ila ikitokea wameshirik Basi itakua waligomea uchaguz wa wenyevit wa mitaa sababu haukua na faida kwao

Na Kama ni kweli waligoma sababu uchaguz ulikua wa kibabe na dhulma Basi ili wasiwe wanafk wasusie Tena huu uchaguz sababu hata huu pia Una Mambo wasio yataka ikiwemo tume huru wanayo iimba kila siku kua Sio huru ilihal tume yetu ni huru kwa mujibu wa katiba yetu

Chadema tutegemee nin Mana siku zinaisha na tume ni Ile Ile je mtaingia kwenye uchaguz?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kukuta mtu kama wewe una familia na watoto!Toilet paper ya lumumba,shame!
Ni aina fulani ya ndondocha hivi
Mada nyingine za kipuuzi tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Niamini tu kuwa lugha hiyo mnayotumia na majibu/hoja zenu ni kwa ajili ya hili jamvi la JF. Lakini, lakini kama ndiyo lugha na hoja zenu, hakika mkipanda kwenye majukwaa ya siasa, wakati wa kampeni, hamtatoka salama

Je, ninyi ni binadamu kweli? Nasubiri gunia la matusi nilitumie kama mto usiku wa leo.
 
Kama kweli chadema na ACT waligoma kwenye uchaguz wa wenye vit wa mitaa sababu ya kuminywa kwa haki na demokrasia Basi hata uchaguz mkuu nategemea watagoma

Ila ikitokea wameshirik Basi itakua waligomea uchaguz wa wenyevit wa mitaa sababu haukua na faida kwao

Na Kama ni kweli waligoma sababu uchaguz ulikua wa kibabe na dhulma Basi ili wasiwe wanafk wasusie Tena huu uchaguz sababu hata huu pia Una Mambo wasio yataka ikiwemo tume huru wanayo iimba kila siku kua Sio huru ilihal tume yetu ni huru kwa mujibu wa katiba yetu

Chadema tutegemee nin Mana siku zinaisha na tume ni Ile Ile je mtaingia kwenye uchaguz?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu hawawezi kuususia. Watashiriki kwa kujali maslahi yao. Na hapo ndipo wale waliokatazwa wasishiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa watakapolianzisha! Kumbuka huku chini ndio kuna wapiga kura na wao hawana wawakilishi wa kuwasemea mtaani. Yaani safari hii, CCM kiulaini!!!
 
Chadema imetoa Boko yenyewe Ila kwa fununu mzee alikua Kala hela za ruzuku hakua na fungo la kuwapa wenye vit ili ziwasaidie kwenye kampen na uchaguzi so boss akaamua apige Chin
Huu hawawezi kuususia. Watashiriki kwa kujali maslahi yao. Na hapo ndipo wale waliokatazwa wasishiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa watakapolianzisha! Kumbuka huku chini ndio kuna wapiga kura na wao hawana wawakilishi wa kuwasemea mtaani. Yaani safari hii, CCM kiulaini!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niamini tu kuwa lugha hiyo mnayotumia na majibu/hoja zenu ni kwa ajili ya hili jamvi la JF. Lakini, lakini kama ndiyo lugha na hoja zenu, hakika mkipanda kwenye majukwaa ya siasa, wakati wa kampeni, hamtatoka salama

Je, ninyi ni binadamu kweli? Nasubiri gunia la matusi nilitumie kama mto usiku wa leo.
Sio kila mtu JF ni mwanasiasa!Wengine ni watazamaji tu na hatuna mpango na hizo siasa zenu za majitaka!
 
Kama kweli chadema na ACT waligoma kwenye uchaguz wa wenye vit wa mitaa sababu ya kuminywa kwa haki na demokrasia Basi hata uchaguz mkuu nategemea watagoma

Ila ikitokea wameshirik Basi itakua waligomea uchaguz wa wenyevit wa mitaa sababu haukua na faida kwao

Na Kama ni kweli waligoma sababu uchaguz ulikua wa kibabe na dhulma Basi ili wasiwe wanafk wasusie Tena huu uchaguz sababu hata huu pia Una Mambo wasio yataka ikiwemo tume huru wanayo iimba kila siku kua Sio huru ilihal tume yetu ni huru kwa mujibu wa katiba yetu

Chadema tutegemee nin Mana siku zinaisha na tume ni Ile Ile je mtaingia kwenye uchaguz?

Sent using Jamii Forums mobile app
uchaguzi uko palepale upinzani unaendelea kuimarika na majimbo mengi yatakwenda kwa wapinzani
 
Back
Top Bottom