Nasubiri tamko la TAHILISO kuhusu dodoso

Nasubiri tamko la TAHILISO kuhusu dodoso

kwani dodoso inasemaje?tuone inasomekaje ili tuwasaidie mawazo.
 
1477977601212.jpg
1477977642014.jpg
1477977654662.jpg
1477977670734.jpg
 
Hakikisha una app ya m-bet, meridian bila kusahau kusave bookmark mkekabet.com Hawa jamaa ni waaminifu sana Pesa yao haichelewi wala haina dodoso haina rufaa, haina priority
 
jamani kweli wasomi wa vyuo vikuu tunakubali kuendeshwa hivi na serikali wakati mamboengne sio lazma wala muhimu kufanya ivo? kwanin wakati hii nchi yetu sote sasa tunakoelekea ni serikali kutushika mapembe mambo mengne sio ya msing bhana hatuna sababu ya kujaza taarifa kam izo.
 
Sasa Appeal Form iko hivyo mbona wanatutesa!!!? Wallah Mungu anawaona serikali.[emoji30][emoji30][emoji30]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom