Nasubiri mshahara wa Octoba 2017

Kuna mtumishi ambae mpaka leo hii bado ana imani na serikali hii..??duh mimi mbwembwe zao tu mwanzoni nikajua hawana pumzi hawa.
Mkuu si mliambiwa hata hamuwezi kubabaisha mtu kwani kura zenu ni laki tano tu,hata msipopiga haisumbui
 
Hahaha ndiyo maana Mimi nafanya shughuli zangu binafsi.Wewe endelea kusubiri mshahara! Utaisoma namba
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kazi kweli kweli, sizani kuchelewa kwa mishahara ni dalili ya uchumi kuyumba ngoja tuwasubiri wanauchumi hapa
 
Serikali huko nyuma imekuwa ikitoa mishahara ya watumishi wa umma kwenye tarehe 21 kila mwezi lakini mwezi huu imechelewa kutoa mishahara hiyo kutokana na uchumi kuyumba hii ni ishara tosha kuwa nchi yetu imeshuka kiuchumi .
Mkuu huenda wanataka waiongeze kwanza alafu ndo wawaingizie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…