Nasubiri mshahara wa Octoba 2017

Ndoa tushehakikiwa mkuu! Hiyo ya jinsi itakuwa ishehakikiwa pamoja na ndoa. Punde si punde mambo yatakuwa swafi. Subira huvuta heri.
Waajiriwa wa serikali awamu hii wasipojiongeza sijui kama hawatarudi kwenye maisha yale ya duka kaya!Haiyamkini kama wakitegemea kazi ndiyo mkombozi wa maisha yao watakufa masikini.Serikali hii haina urafiki na waajiriwa wake.
 
unavolilia kupandishiwa mshahara hata kama ni haki yako wenzio wapo mtaani toka mwaka juzi ajira zao bado na haijulikani lini, tuchape kazi tu hata kama hali ngumu hakuna namna.
 
Hizi changamoto ndo zilipelekea watu wagundue lipa kadri wanavyotumia "luku". Yaani watumishi wanatakiwa sasa waanzishe 'new approach' ya kufanya kazi kwa kadri wanavyolipwa.

Najua kuna baadhi ya idara walishaanza mipango kazi ya FUKU (fundisha kadri unavyolipwa), TUKU (tibu kadri unavyolipwa), EKU (Endesha kadri unavyolipwa) na nyinginezo.

Kulialia hakusaidia 'adaptation' ndio mpango mzima. Inatakiwa tutumie hiyo mipango vizuri mpaka mwajiri ajilize kama walimu hasa wale wa shule kongwe wamefaulu maana jamaa wamesensitize program hiyo mpaka shule za kata zinawapita.

Ifike mahali mwajiri achezeshwe mpaka aombe poo mwenyewe. Ndugu zangu hata mnyama porini akikamatwa na simba kulialia hakumsaidii yeye kutokuliwa nyama kinachotakiwa ni kupambana tu!!!
 
Hii haiwezekani kwa Tanzania kwasababu watumishi wenyewe hawajihurumii
 

Umenena vema mkuu,sioni sababu ya kumlilia muajiri na kulalamika wakati unajua hakusikilizi ni vema tukachukulia hii hali kama changamoto alafu tutafutie ufumbuzi na njia rahisi ni kuwajibikia kadri unavyolipwa sina uhakika na ofisi nyingine ila hapa kwetu kitambo tume-switch kwenye mfumo ambao ni rafiki kwetu kadri tunavyouzoe hatuoni hayo maumivu ya wanayoyafanya nashangaa mtu anashindwa hata kuiba muda tu duh watumishi tuamke ili siku moja na muajiri alalamike kua kuna kuzorota kwa huduma.
 
Ni sawa na wewe uwe na mtoto kila siku anakuja kwako analia nimepigwa nimepigwa atakuboa. Inatakiwa siku aje nae kapiga MTU huko.
Kama wafanyakazi wakiungana hawahitaji hata vyama vya wafanyakazi. Mwajiri mwenyewe atakuja kupiga magoti kuomba maridhiano. Mimi naipenda FUKU sana maana kama lengo ni Pass yaani D. Sasa mtoto akiweza kupata D inatosha tafuta shughuli nyingine za kufuga nguruwe endesha bodaboda ongeza kipato. Anaetaka mwanae apate A ampeleka Saint kunani salary zipo nzuri, good T/L enviroment ila huku iwe D tu.

Kesho tu lazima mwajiri aombe maridhiano
 
This is good
 

Hii ya walimu (FUKU) nimeipenda sana mkuu kama walimu wangeamua kuitekeleza ungeleta matokeo chanya mapema sana ila tatizo ndugu zetu hamuwezi kusimama pamoja wale wazee wetu wanaawangusha sana,uku kwetu tunapeana tu nafasi kwenye kila ishu ambayo ina maslahi ndani ile tabia ya zamani kuleteana unoko imeishia na majority wamerudi kwenye mstari julai baada ya kuchezea za uso.
 
No more striving for one's success, mine first!!!
 
Mkuu,bora Diamond aongee ataaminika na kueleweka kuliko Magu na Serikali yake,waongo sana
 
Hahahaa...

Kwa uchochezi huu wakikudaka !!!!?

Haha...

Ila ukweli mtupu.. INput determines the OUTput.

Sasa mtu hajaboresha kitu..alafu anataka matokeo .NEVER.
 
Mkuchika kawajuza hadi mhakikiwe umri wenu.Baadaye jinsi zenu,ndoa zenu.......!
Watahakiki kabila ili wajue kama mtu anastahili nauli ya Bukoba wakati siyo Mhaya.
Watahakiki vyeti vya ndoa ili nauli ilipwe kwa wote
Watahakiki watoto kwa Mkemia Mkuu ili wajue kama wa mtumishi au la
 
Muwe na subira kidogo tu, mambo yatakuwa sawa.. I can feel ur frustrations
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…