nasubiri minyoo ilalee...

nasubiri minyoo ilalee...

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,579
Reaction score
3,269
kuna jamaa mojaa alikuwa ana ishi na mkewe,sasaa jamaa akawa anatabiaa ya kula kilaa siku saa saba au saa nane usiku....wife kavumilia,ikabidi amuulize.jo mbonaa kila siku unakulaa usiku sanaa kwani vipi,jamaa akamjibu NAWATAIMU MINYOO WALALE KWANZAAA
 
Back
Top Bottom