Nasubiri Mdororo wa Local Government

CCM haiwezi kuwa adui wa taifa hili...labda wewe na wenzako ndio adui wa taifa hili...Sijui unamanisha nini kusema kuwa hatutaki kufikiri NJE ya CCM...Na wala nyie hamjaeleza mnafikiri NDANI ya nini...
Uchaguzi wa 2015 Ulielezwa ila wee na wenzio hamkutaka kusikia Upande mwingine so mnapokuja kulialia humu tunawadharau sababu mnajaza Saver za JF kwa mambo ya kijinga
 
Ni wengi tulioshsngazwa ukurugenzi siyo kazi ya kutoa magizo ni kazi ya utendsji hakuna siasa pale kosa moja goli
 
Kama kuna mtu bado ana imani na ccm, asitarajie jipya. Hii nchi itapiga hatua za haraka kimaenedeleo pale tu ccm itakapotoka madarakani, zaidi ya hapo tutaendelea kushuhudia mazingalaombwe tu.
Are you sure? Nani atakuwa mbadala wa jpm
 
Kama kuna mtu bado ana imani na ccm, asitarajie jipya. Hii nchi itapiga hatua za haraka kimaenedeleo pale tu ccm itakapotoka madarakani, zaidi ya hapo tutaendelea kushuhudia mazingalaombwe tu.
umenena vema mkuu bt subili wafunguliwe toka lumumba na buku 7
 
Unategemea nini cha ziada kutoka kwa mtu aliedai Saddam Hussein ni raisi wa Kuwait!
 
Sijui kwa nini mheshimiwa ameamua kukiuka taratibu za utumishi wa umma. Badala ya kupromote watumishi wenye wekedi huko halmashauri kaamua kuweka makada waliomsapoti wakati wa kampeni ambao hata hawajawahi kufanya kazi halmashauri! Nafasi za kiutendaji zinazohitaji weledi katika fani husika yeye kazifanya nafasi za kisiasa! Nilidhani huu utaratibu wa kulipana fadhila uliondoka na awamu ya nne! Kumbe ni walewale!
 
Ni mjinga tu anayeweza kudhania mwanadamu mwenzake ni Mungu. Naomba nifahamishe serikali hii inayo tuongoza sasa ni ya chama gani?

Kelele zote hizi niza kimaslahi zaidi na wale wanaona utamaduni umebadilika ghafla hawa kujiandaa..


 
nina uhakika huu uteuzi umevunja vifungu vingi sana vya katiba....

Ungekuja na vifungu vilivofunjwa lingekuwa jambo la maana, kudhania tu hakuna mashiko. Ndio tatizo la walalamikaji wengi hapa. Wanadhania Rais na wasaidizi wake wangefanya hivi au vile, haisaidii lolote uteuzi ndio ushafanyika.
 
Wewe fuko wa wapi? Instead of ccm do you think there is any political party that can stabilize Tanzania?
Wivu na kulalamika bila sababu za maana mmezidi, mfano hapo wewe na mleta maada kipi mmeona rais na uteuzi wake amefeli? Acheni mawazo hasi jengeni imani na kiongozi wa taifa lenu sio lawama kila kitu.
 
Hivi why Tanzania imekuwa nchi ya kulalamika tu??
huku sio kulalamika mkuu, ni kuhoji mambo na hii haki ya kila mtu huru. ni bora hii kuliko kusema ndio kila kitu. akitoa mtu hoja inafaa ipinngwe kwa uchambuzi wa hizo hoja zilizotolewa na kuonyesha mbadala wake.
 
it can be true that there is no another political party to stand in place of ccm but this is not a justification that ccm is not wrong!
kama CCM ina tatizo watu wanaoona hilo wanaweza kusema bora iondoke hata kama hakuna chama mbadala. Moja, inaweza kujinyumbua na kuzaliwa upya (kujivua gamba) au, ibomoke kizaliwe chama kingine hata kama kitazaliwa kutoka ccm yenyewe kwa kundi kujiondoa.
Ni Dhahir CCM imekuwa tatizo kwa muda mrefu na ndio maana mkuu hasemi serikali ya ccm. mimi naamini kuwa atakapochaguliwa mwenyekiti wake atasema Serikali ya CCM na si ya magufuli tena. Shika maneno yangu uje uniulize!
 
Nahisi wee ni mmoja wa wateule anaowalalamikia mleta mada!
 
magufuli endelea hvyo hvyo tuteulie hata darasa la 7 mpaka watu wapate akili
 

Hujaeleweka best, umechapia sana.
 
Umeeleweka vizuri sana kama manager wa hotel anaweza DED si ajabu hajawawahi hata kuajiliwa serikali na anaenda kukutana na watu wenye master zao sijui kama wakiwa kwenye kikao itakuwaje nadhani tuache ushabiki hapa kuna tatizo tena kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…