NASSARI: MAGUFULI unaweza kuwa CHADEMA

NASSARI: MAGUFULI unaweza kuwa CHADEMA

duh...kweli JF ni kwere....hako ka msemo ccm macho juu
 
Kwa hiyo ni kwamba CHADEMA wanaikubali kazi ya Magufuli au ina maana nyingine zaidi yhiyo?
mwakyembe na magufuri ndio turufu ya sisiemu japo nguvu ya mwakyembe ni kwasababu anautaka urais..magufuri nae amekua na maneno mengi siku hizi japo nae haaminiki lkn anaunafuu kulinganisha na wengine!!
 
Back
Top Bottom