KASHOROBANA
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,241
- 964
Mkuu CHADEMA wanaikubali kazi ya Magufuli na kupitia kwa Mbowe na sasa Nassari wamekiri kwa vinywa vyao
wewe ni kenge sana. ivi kodi nchi ii inalipwa na wanaccm pekee? na kwa iyo mnaamini izo ni ela personal za magufuli au ccm na ndo znajenga barabara?
inamaana we kumnunulia mwanao viatu ni upendeleo au wajibu? inabidi nape akukate elf7 ya leo kwan wewe lzm unamuangusha kwa mipwenti less