Nassari: Lowassa anahusika kunipiga

kwanza mwanzo ulitudanganya ulisema umetoroka wakati umeruhusiwa umekuja kutudanganya tena unafikiri sis ni wajinga eeeeeeeeeeeehhhh
 
Hakuna anaeaminika tena kila mmoja anavutia kwake

"To know the enemy is half the victory"

achana na siasa za tanzania,here in Tanzania we dont hav politics bt what we do is a propaganda,siasa zpo kenya,if u wana facts call on me.
 
Huyu analelewa na mashirika ya kidini! Lowassa ana mahusiano ya karibu sana na wahalifu huyu jamaa ni muuaji mpiga deal na msanii tu, hafai kuwa rais. Lakini ccm wamaeamua kumuenzi muasisi wao kwa kumgeuka na kuliingizia taifa laana kubwa. Nyerere aliwahi kulalamika kwamba wameyaacha mazuri wakayafuata mabaya. Huyu jamaa hafai kuwa rais, kabisaaaah!!!!!!

 
Hata mjinga ukimwambia hali hii hakika atakwambia tu ya kwamba mhusika ni EL.
Yeye aendelee kutumia kodi ya wanainchi vibaya kwani MUNGU iko muda atamrudishia majibu mchana kweupe!
Khaa!! kwa kutokupigiwa simu na kumshinda mkwewe ndiyo ahusike?? Basi wapo wajinga wengi sana:heh:
 
huu ni upuuzi na upumbavu kwa tunavyowajua wanasiasa wetu, kama Nassari angepigwa asingeacha kujionyesha kwenye media hasa tv na kauli ya daktari inatia mashaka zaidi ni wazi lengo lake ni kujenga chuki akidhani ni dhidi ya wa meru kwa lowassa na wananchi kwa ccm bila kujua na Monduli kwa chadema na dhidi ya Nassari mwenyewe.

Ni muhmu kuanza kuwa makini sana hasa na wanasiasa wetu huku chadema wakilalamika kuhusu serikali kutumia nguvu kubwa kutawanya maandamano na kusahau kuwa hata viongozi wao na aina ya wanachama wao ni watu wanaotumia ubabe kupiliza na kujiona bora kuliko watz wengine hasa kwa mkoa wa arusha jimbo la meru na arusha mjini chadema kwa kiasi kikubwa hawana uvumilivu wa kisiasa.

Lawama ni muhmu kuzitupa kwa serikali na usalama wa taifa kwa udhaifu wa wazi na kutochukua hatua kwa wavunja sheria hasa viongozi wetu wa kisiasa kuanzia Mwigulu, Nape, Lema na akina Nassari ambao kwa maslahi yao yakutafuta umaarufu wamekuwa wakijenga chuki miongoni mwa watz na ni wazi kama tutafka huko wanapotaka kutupeleka wao watakuwa miongini mwa watu wa mwanzo kabsa kutangulia!!!

Tuache ushabiki wa siasa hasa pale inapokuwa siasa inaondoa maisha ya watu, na ni wazi me sioni tofauti ya ccm na chadema kwani vyama vyote hivi ni majanga na vinapotupeleka siko ni hatari tupu, tofauti ya vyama hizi ni moja au mbili; ccm anatawala na chadema mpinzani ila kwa kauli na kuishiwa hekima na weledi wote wameishiwa.. Tusali sana kwa Amani tuliyonao kwani kwa aina ya viongozi wetu mbele ni giza kabsa.
 
CCM changa ila na Chadema nao ni walewale tofauti na ccm anatawala na chadema mpinzani.. tutaona mengi zaidi
Wacha porojo wewe, Wabunge wa CCM wana uelewa wa hali ya juu kuliko chama chochote cha siasa hapo Tz, na hawawezi kuja na kauli dhaifu kama za huyo limbukeni Nassari...
 
Wakuu huyu siyo mgonjwa aende zake huko.
 
Imefika kipindi hawa wanasiasa waache porojo na kupayuka...
Kama una ushahidi nenda kwenye vyombo stahiki kuliko kulalama...
Kwa kuendelea kulalama tu hivi, haitoi msaada kwa Nassari bali inazidi kumvimbisha kichwa mtuhumu wake...

waende kwenye vyombo gani na huko kumejaa wauaji watupu ?
 
cheap popularity + cheap politics/ = nassari.

Sent from my blackberry 9900 using jamiiforums

thank you ! Couldn't agree any more ... Describe him in one word i would say pathetic
yes nassari hes naive & pathetic
 
WHO Z NYERERE KWANI NYERERE NI MUNGU ALPOWAFKS KNA SOKOINE NA ABOOD JUMBE BAADA YA KUONA WANAMZD UMAARUFU..NASARI ATAJUTA AENDELEE NA KDOMODOMO nasari Alpopewa rushwa na kna membe arumeru mbna hatusemi
 
WHO Z NYERERE KWANI NYERERE NI MUNGU ALPOWAFKS KNA SOKOINE NA ABOOD JUMBE BAADA YA KUONA WANAMZD UMAARUFU..NASARI ATAJUTA AENDELEE NA KDOMODOMO nasari Alpopewa rushwa na kna membe arumeru mbna hatusemi jenga hoja ustupe hadth za nyerere 2po dgtal sasa hv
 
Kiswahili kwa kigumu, nasidie kidogo. Hivi wabunge ndo watapiga simu au ni bunge
huyu dogo hana jpya msanii mara ofs ya bunge inanitbu na imensafrisha kwenda dar!ohh spka anipend ofs ya bunge inayokutbu ipo chn ya nan..acha kutafta cheap popularty nasar utaumia umeanza siasa 2012..kwnz hauumw unataka umaarufu 2na dtail selian walkuruhusu ukaforc kwnd muhmbl
 
Kwa taarfa tu ni kwamba wananch wa Arumeru hawatak tena kumuona Nasari jimbon wanasema ameiga vurugu za lema na meru hawanaga destur ya siasa za vurugu meru,.LOWASA ANAPENDWA SANA MERU KWAN KIASILI NI WAMERU&WAMASAI LOWASA FAMILY MERU WANAMWTA LOWASA RAIS WAO
 
El hatakiwi meru wala Monduli wala kwa wana pwani (Mkaskazini huyu)atakufa vibaya.Mipango mingi il akila mara napigia bao karibu na kombe.
 
Naomba kuuliza!Hivi ule wimbo uitwao Twaiombea nchi yetu,ulioimbwa na Tanzania Gospel star,akiwemo rose muhando,massanja,bahati bukuku,upendo nkone, na wengineo hivi wanamaanisha nini?? Coz pale kwenye maombi massanja anakandamiza kuwa Mungu tupe rais mwenye maamuzi magumu na sio hawa waliopewa uwaziri kama zawadi, cjauwelewa vizuri naomba mnisaidie,kama wanampigia EL chapuo hakika 015 tutachaguana kidini na pole kwao hao wasanii na nyimbo zao eti Mungu 2saidie tusiangalie historia ya m2 huyu huko nyuma, teh teh teh hakika ni komedi huu wimbo nawaomba muutafute!
 
Nimekuwa nikifuatilia kauli ya huyu kamanda baada ya kudai kuwa , trh 16/6/13 alishambuliwa na watu (green guards) lakini kuna walakini. Nanukuu maneno yake: Kuna vijana wa green guard-ccm walinisonga kutaka kunishambulia nawapongeza police waliokuwepo eneo la tukio. Walijaribu kuwa tuliza lakini walielemewa kwa sababu walikuwa wawili na hawakuwa na slaa, nipo nikachukua bastora yangu na kuwanyoshea lakini sikushuuti ndipo wakanishambulia na kunipiga mwisho wa kunukuu. Hapa inaonyesha mheshimiwa anatumia ujanja wautumiao wachezaji wa mpira wa mguu, pindi afanyapo madhambi na kujigalagaza chini ili mwamuzi amwonee huruma. Hospital zote alizopelekwa hadi sasa vipimo vinaonyesha u mzima, pili kwa tukio linanipa mashaka ya kutoamini maneno ya Mbunge Nassari, na ishukuliwe kuwa police hawakuwa bunduki siku hiyo kwa sasa story ingekuwa nyingine. Kwa hali hii mtu angeuawa na police kusingiziwa. Mwisho kabisa Nassari aseme ukweli make naona kumbukumbe imeanza kuja. Nahisi huyu kamanda wetu walimuwahi wakati akiwa anaishanga bastola yake. Huyu kamanda aliambiwa aende jkt akagoma ona sasa anavyo dhalilishwa. Jamaa huyu haumwi ila nafikiri alipigwa kofi moja tu akaona ki-china china. Pole kamanda
 
Jamaa amenenepa sana muda mfupi ndio maana anakuwa mchovumchovu.

Angejiunga na wenzake JKT asingefikwa na hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…