Nassari anavyowacheza shere CHADEMA

Nilimpigia kura mara 2, nashukuru sina mpango wa kupga kura tena.
 
Naona hata wewe leo unafurahia kupigwa kwake maana nasikia ndiye aliye pendekeza lumumba mpunguziwe posho toka buku 7 hadi buku 3000
Hapa naona dalili ya doze kuishiwa nguvu unahitajika kuongezewa!
 
Kapata namba za viatu
 
Your browser is not able to display this video.
 
Ulikuwa unafahamu kilicho nyuma ya pazia
Hapana, Kipara kipya alijua kama tulivyojua wengine. Kwa mtu mwenye akili haikuhitaji muda kubaini

1. Nassari alianza kuwa na misimamo tofauti, wenzake Bungeni wakimnyooshea vidole kwa ulakini

2. Kitendo cha kupotea Bungeni akijua kanuni haziruhusu hata bila uongozi wa chama chake kujua alikuwa wapi ilikuwa ni dalili kuwa hisia (#1) hapo juu zilikuwa kweli. Haiwezekani mbunge apotee bila chief whip kujua

3. Ubabaishaji wa kwenda mahakamani ilikuwa wazi anaficha kilicho nyuma yake.

Kilichofanyika, badala ya kuhama chama kama wengine, Nassari alijua jasho na damu, nafsi ikamsuta sana.
Mpango wake na wenye pesa ulikuwa kuuza jimbo kinamna. Ndivyo mbunge alivyopatikana haraka
Hayo yote yakiendelea huyu bwana mdogo alikuwa well informed na ''hakupoteza masilahi'' alilipwa uzuri

Katika siku nilizofurahia watu wa Arumeru ni leo, bila kujali vyama wakaamua kumtosa msaliti huyu wa umma
Msaliti aliyeuza ''maisha ya wenzake'' kwa ujira .
Huu natamani uwe mwisho wake wa siasa na afutike katika siasa za dunia hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…