Nassari amerejea nchini jana usiku toka Uingereza(Masomoni) kuungana na wananchi wa Arusha Mjini

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh. Joshua Nassari amerejea nchini jana usiku toka Uingereza(Masomoni) kuungana na wananchi wa Arusha Mjini hapo kesho kwenye kesi ya Mh Lema.
[HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG]
 
Alikaa huko kwa mudi gani,maana siku hizi degree fake ndio fasheni.
Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh. Joshua Nassari amerejea nchini jana usiku toka Uingereza(Masomoni) kuungana na wananchi wa Arusha Mjini hapo kesho kwenye kesi ya Mh Lema.
[HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG]
 
Sasa kipi cha kushangaza hapa???????And whose is Nassari by the way,when it comes to LAW???????
 
Asante ya kiukweli au ya kinafki?hiyooo

Ova
Watu ambao katika ukoo wao ndio wakwanza kwenda kusoma ulaya utawajua tu! Maana hii taarifa kua katoka ulaya kusoma imepachikwa kusikofaa mradi tu ijulikane kua alikua huko ulaya anasoma!
 
Watu ambao katika ukoo wao ndio wakwanza kwenda kusoma ulaya utawajua tu! Maana hii taarifa kua katoka ulaya kusoma imepachikwa kusikofaa mradi tu ijulikane kua alikua huko ulaya anasoma!
Una maneno ya kejeli sana mkuu nlijua tu asante yako ni ya ki snitch.....Sawa nyie ndiyo wasomi pekee

Ova
 
Wabongo bwana, eti nasari amerudi kuungana na wanaarusha mjini. Yani utadhani huyo kijana anaeitwa joshua ni Mungu au babake na mamamake, au mlezi wake.
 
Back
Top Bottom