NASSARI aka 'DOGO JANJA' VIPI TENA?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Lini utatimiza ahadi yako ya kumuoa Mheshimiwa mwenzako Halima Mdee? Au umempata mwingine? Funguka...
 
Lini utatimiza ahadi yako ya kumuoa Mheshimiwa mwenzako Halima Mdee? Au umempata mwingine? Funguka...

Hii siyo ya jukwaa la siasa ndugu,ungeielekeza jukwaa la mapenzi pengine ingekuwa na mashiko.
 
Hii siyo ya jukwaa la siasa ndugu,ungeielekeza jukwaa la mapenzi pengine ingekuwa na mashiko.
Mkuu,hii ilikuwa moja ya ahadi za Nassari alizozitoa siasani.Ni suala la kisiasa...
 
Mbona Halima alishafunga huo mjadala kitambo? Au ulikua jela mwenzetu? Tiririkaaaaaaa!
 
Mkuu,hii ilikuwa moja ya ahadi za Nassari alizozitoa siasani.Ni suala la kisiasa...

VUTA-NKUVUTE hakuna ahadi aliyotoa Nassari kuwa ni lazima amuoe mbunge Halima Mdee. Namnukuu Nassari "Wanasema sina mke, nikiamua naweza kumuoa Mdee ili jimbo la Arumeru liwe na wabunge wawili" Hicho kilikuwa ni kibwagizo tu lakini siyo ahadi wala lazima mkuu/
 
Mkuu,hii ilikuwa moja ya ahadi za Nassari alizozitoa siasani.Ni suala la kisiasa...

umekosea kidogo kwani swala la kuwa single ni la kisiasa hilo ni la kimapenzi zaidi, kwani uchumba mwisho mda gani?au kwako wewe mtu akioa ndio furaha?ungezungumzia maendeleo ya jamii ningekupa 5
 
Umekosea kidogo kwani swala la kuwa single ni la kisiasa hilo ni la kimapenzi zaidi, kwani uchumba mwisho mda gani?au kwako wewe mtu akioa ndio furaha?ungezungumzia maendeleo ya jamii ningekupa 5
 
Lini utatimiza ahadi yako ya kumuoa Mheshimiwa mwenzako Halima Mdee? Au umempata mwingine? Funguka...

Kwani alitoa 'Time frame' mbona unahangaika na mambo ya udaku, kwanini huzungumzii vile visima ambavyo viko tayrai na maji yanatiririka kikatiti?
 
Amebadili mawazo anataka akutie mimba wewe na siyo kukuoa....
Mkuu unanikosea adabu.Unavuka mipaka.Mimi ni mwanaume rijali.Changia mada kwa busara na ustaarabu.Chunga sana kinywa chako...
 
Mkuu unanikosea adabu.Unavuka mipaka.Mimi ni mwanaume rijali.Changia mada kwa busara na ustaarabu.Chunga sana kinywa chako...
Wanaume hatufatilii hoja za nani kamuoa fulani nani ame ahidi kumuoa furani...Arumeru kuna matatizo ya msingi na siyo Nassari kumuoa Halima.....Mbona hujauliza Annna Makinda kaolewa au bado ana bangaiza....
Tujadili mambo ya msingi Tanzania tuna matatizo mengi sana na siyo huu upuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…