Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
Only if you NEW??Only if you new!
Yaani nimuonee wivu mtu anayewacha kuwatumikia wananchi wa jimbo lake analipwa pamoja na marupurupu zaidi ya $200,000 yearly anaenda kupigwa baridi ya Chicago IL. Wewe utakuwa mshamba sana wa Western countries itakuwa.
Wewe kwa akili yako timamu ingekuwa US kutamu, Lemutuz ungemuona Tanzania?
Alitoa taarifa kwa spika..mimi siyo miongoni mwa waliomlaumu.
..kuna kipindi Nassari alikwenda masomoni ktk chuo kikuu nje ya nchi.
..Je, aliwatelekeza wananchi? Kwanini hakufukuzwa ubunge?
siku zingine muache kuleta habari kama hizi mtu akipata kazi ndo mtutangazie dunia nzima? yeye pekee ndo ana kazi dunia nzima? mimi mbona nasukuma mkokoteni mnaniona na mbona hamnipi promo? acheni ubaguzi! wabongo tuache ubaguzi, ni wakati sahihi sasa tuachane na sifa za kijinga kama hizi kutangaza tangaza ujinga tu! sura yangu ni kama nyani wa Tarangire , nadhani umeridhika! unaweza kuwa ndugu yangu wewe! ha ha ha!
Aliyekuwa mbunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndugu Joshua Nassari hatimaye amepewa mkataba wa miaka miwili wa kufanya kazi kwenye taasisi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama (Obama Foundation). Moja ya masharti ya mkataba ni kutojihusisha na siasa za vyama.
Joshua Nassari anatarajia kuweka makazi yake jijini Chicago, Illinois.
Kisomo mzee, mtu ukiwa umesoma vizuri wenye PhD za mtaani watakuona tu unapaa wakibaka wanalamba viatu vya good for nothing leaders. Congratulations!Sifa kubwa ukiwa serikalini lazima uwe na roho mbaya kuwatengenezea watu wengine kesi na kuwazamisha kwenye kina kirefu ili wasiibuke tena! Kazi hii hufanywa pia na wachawi na watu wanaitwa sadist! Yaani wakati wengine wanaumia na kutokwa machozi sadist anacheka na kushangilia! Mungu mkubwa amfariji huyu dogo japokuwa hatujui mengi juu ya sakata lake la kuvuliwa ubunge! Kuna watu walikuwa behind kumuumiza nassari lkn Mungu amemkumbuka! Kila la kheri
Shieee! Mbona unateseka yeroo?huko Obama foundation ufipa Machame kampani limited ndo hospital aliyolazwa mwenzake alipokuwa anaamuuguzia!!! akili ndogo za bush shida sana!! mtu akizaliwa bush hata aende Mbinguni kijiji hakimtoki kichwani!! maisha yana formulas zake, haiingii akilini leo ufukuzwe ubunge (kazi) kesho tu ushadaka kazi ingine! mtu ukitimuliwa kazi kusota kwanza ndio hufuata kabla hujapata job ingine!! sisi si wajinga!!!
Nafasi gani?,Talishi?
Obama foundation gani iliyokuwa haitaki references za previous jobs, the latest of which sacked him.
Another point worths notinng ni kuwa atahitaji barua ya labour ( kama rules & regulations zitafatwa). Kama ana bèef kweli na hawa watu wa system basi wanaweza kumnyima.
HATERKaenda kwenye mafunzo ya ugaidi!
Alijua kabisa 2020 hatarudi bungeni kwa fingisu ndiyo maana ameamua akajenge nchi za wengine...
Alituuza mpuuzi yule, ktk hili chama kilibugiTunamuombea kila la kheri
Alituuza mpuuzi yule, ktk hili chama kilibugi
Dogo jinga sana
Uko sahihi mkuu, huwa naumia sana kuona mtu anasaliti umma, binafsi nmeanza kua CDM 2004 nikiwa form 3 na nimeipigania kwa hali na mali ila mtu uliyesaidiwa na chama unasaliti!? DahMkuu daima mtu ujifunza kutokana na makosa na kwa cdm ingizo lililopita tuliingia sana mkenge
Uko sahihi mkuu, huwa naumia sana kuona mtu anasaliti umma, binafsi nmeanza kua CDM 2004 nikiwa form 3 na nimeipigania kwa hali na mali ila mtu uliyesaidiwa na chama unasaliti!? Dah
Hiyo inaitwa smartness. Sio kujenga nchi za wengine bali kujinusuru. Na yeye ana maisha ..ana familia na mke wanaohitaji kuvaa..kunywa..kulala..na kuish vizuri. Asipopambana atakuwa anaushusha hadhi uanaume wake.
Unataka kuniambia Obama foundation haitomu aknowlwdge Obama kama ni Ex President?Kama umesoma masharti yake. Mojawapo ni kutokujihuisha na siasa.