Aliyekuwa mbunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndugu Joshua Nassari hatimaye amepewa mkataba wa miaka miwili wa kufanya kazi kwenye taasisi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama (Obama Foundation). Moja ya masharti ya mkataba ni kutojihusisha na siasa za vyama.
Joshua Nassari anatarajia kuweka makazi yake jijini Chicago, Illinois.
Joshua Nassari anatarajia kuweka makazi yake jijini Chicago, Illinois.