Nassari agawa madawati ya shule Meru, Madiwani wa CCM wayakataa

Yani huyo diwani ni ziro kabisa...nassari ni mbunge wa jimbo zima na kata zote ...ila ninavyomjua nassari hawezi kukubali huo upumbavu wa hao madiwani
 
Wao wanadai madawati yana jina la Nassari...na sehemu ya fedha ni za Mfuko wa Jimbo

Hivi shule zilizopewa majina ya Jakaya Kikwete na wengineo ni zao au wametumia fedha zao!?

Hivi
 
Nadhani kunahaja ya kupeleka hayo madawati bila kumshirikisha diwani husika maana watoto hawawezi kukaa chini kwa ujuha wa mtu mmoja. Ikumbukwe kuwa Nassari ni mbunge wa Arumeru mashariki yote ikiwemo na kata ya huyo diwani kiburi

Hivyo anauwezo wa kufanya kazi popote bila kuingiliwa na yeyote maadam ni ndani ya mipaka ya jimbo husika Nimekuwa nampobgeza Nassari kwa jitihada zake za kuwa jaribu na wananchi wake na kushiriki kazi za kuwaletea maendeleo wananchi wake hakika huyu jamaa ni mfano wa kuigwa hata kwa wabunge wa upinzani hasa Makamanda heko sana mkuu

BACK TANGANYIKA

Kata zote Jimboni humo ziko chini ya maCCM isipokuwa mitaa ya Mji mdogo wa Usa River
 
Mbona jimbo la Kawe DSM Mdee anagawa madawati kila shule na hakuna diwani wa CCM aliyeleta zogo? Jamani maendeleo ni kwa wananchi wote si kwa mafisadi CCM tu!
 

MSALANI likes this.

Hahahahahaha kweli huyu jamaa ni punguani,ati amelike hii du kazi kweli kweli,sijui na sioni kama tutafika

Mkuu tumefikiri sawa. Nimesoma post ilivyo ya kijinga nika shangaa sana lakini mshangao wangu ukazidi baada ya kuona na huyo aliye Like


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Ila mbona wanajichanganya wakati mwingine CDM wanazuia watu wasichangie shughuli za maendeleo wakidai serikali INA mahela,hongera Nassari kama unawapenda watu wako wape elimu hao wanapinga ni wajinga
 
nasary hana akili, kwa nini asiyapeleke moja kwa moja kwa shule husika...anatafuta attension tu kwa watu kama alivyofanya kwenye harusi yake
 
Nathubutu kusema kama tuta endelea na upuuzi wa namna hii tuta elekea kubaya. Hakuna umaskini mbaya kama umaskini wa kufikiri. CCM ni wapuuzi nadiriki kusema hivo kwa kuwa sisi, wananchi ndio maBoss wao. Sasa basi ime fika wakati wakumsimamisha, alafu kumfukuza kabisa huyu kibarua CCM. Kama hataki basi tuta tumia Jeshi letu. Ama la wakae pembeni. Na ninasema wazi, JWTZ, JKT, TISS, POLISI nyie wote mna tutumikia sisi msilete upuuzi.
 
Inashangaza na kusikitisha juu mtu anatoa msaada kusaidia wanakata alafu ndio wakwanza kusema maisha bora kwakila mtanzania, sasa hii niaibu kubwa sana nakibaya zaidi hao wanao kata hawawezi kuoa msaada intarahamwe huruma kwa wanao itaji msaada nimuhimu sana

Sio kosa lao ni mazoea maanake wao wanataka msaada wa pesa, miln 100 madawati 20 hapo ndo utasikia ccm juuuuu, Nasari kawashika pabaya. keep it up mr Nasari, that's the type Mp's we want in Tanzania, sio akina captain ngono
 
Alafu sijuinikutokufikiria kwasababu akikataa ndo itamake headline kuliko angekubali
yaani sasa ndo anajimaliza zaidi kuliko angekubali

na i m sure hii itakua topikikubwa hata kwenye kampeni zijazo naitamkost kwenye uchaguziwake kuliko angeyapokea

saanyingine sijui akili inakua wameisahau nyumbani kwasababu mfano mimi nilikua sijui kama kagawa madawati onasasa nimejua na nimejuakunamijitu inataka watoto wandelee kukaachini
 
Back
Top Bottom