Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 3,450
- 7,125
- Thread starter
-
- #61
Mkuu kama hutojali waweza nitumia soft za Ngaiza?General chemistry tumia TIE na ngaiza kwa ajili ya concept zaidi.
Physical chemistry tumia zaidi ngaiza TIE kwa ajili ya concept.
Inorganic chemistry piga josephat na TIE
Organic chemistry tumia ngaiza TIE kwa concept.
Hapo utakuwa upo vizuri chemistry ni moja ya somo la kupata A kama unasoma PCB ndo somo litakalotimiza ndoto zako .
Uvumilivu na bidii ndo vitakufikisha sehemu nzuri.
Today am booked! kesho utatujoin kwenye old school serena! umesahau niliwahi kukutumia hii link sio? na price imepanda nyoko wewe!
Nina kesi na wewe, usijisahaulishe!Ahsanteni kwa ushauri wenu kiukweli mmenimlikia ila msinichoke nitaendelea kuwasumbua kaka zangu na dada zangu
Kama kichwa chako uwezo ni mdogo kasome masomo ambayo unayamudu.Wakubwa shikamoni aisee ndo kwanza naanza ila madude ni magumu hayagusiki
1.General Chemistry
2.Physical Chemistry
3.Organic Chemistry
4.Inorganic Chemistry
5.Acid,base and salt
Nimejaribu kugusa Aufubau principle naona hata siwezi kuandika electronic configuration, pia Hydrogen spectrum ya Bohr's model(Balmers series,Laymers series,Paschen series, p-fund)
Ukija kwenye quantum orbitals haya maua na xyz coordinates yananichanganya. Nikaona niguse tena organic kwenye principle of showing reactions za benzene napo hapagusiki. Nikajaribu tena Physical kwenye Azeotropic mixture hata siyaelewi. Wadau nyie mlisomaje?
Nilisoma PCM na somo jepesi kwangu lilikuwa ni Maths ikifuatiwa na Physics, Chemistry nilikuwa natumia nguvu za ziada.Chem tu inakukata makofi..
Physics itakuchoma moto kabisa.
Kesi gani tena my booooNina kesi na wewe, usijisahaulishe!
kumbe umepanga mimi niozee jela miaka 30Kesi gani tena my boooo
Haaaaaaaaaah jamani mi naona ndo imependeza zaidi maana nakuja Dsm huko huko likizo nitakuwa nakuja kwako halafu wewe jifanye shangazi yangu tu kila kitu kitakwishakumbe umepanga mimi niozee jela miaka 30
Nakuwa nakupeleka shule na visiting day tena nakuja sio?Haaaaaaaaaah jamani mi naona ndo imependeza zaidi maana nakuja Dsm huko huko likizo nitakuwa nakuja kwako halafu wewe jifanye shangazi yangu tu kila kitu kitakwisha
Sasa je unafeli wapi weweNakuwa nakupeleka shule na visiting day tena nakuja sio?
Mi akili kubwaNakuwa nakupeleka shule na visiting day tena nakuja sio?
Hongera! kwahiyo unaanza safari ya kutoka buzebazeba lini?Mi akili kubwa
1/7 uhakika si unajua huku huwa tunapanda punda hadi kufika huko ni kwenye 3/7Hongera! kwahiyo unaanza safari ya kutoka buzebazeba lini?
sawa kila la kheri nyandone!1/7 uhakika si unajua huku huwa tunapanda punda hadi kufika huko ni kwenye 3/7
Usizime simu basiHongera! kwahiyo unaanza safari ya kutoka buzebazeba lini?
Obheja sana mwanikesawa kila la kheri nyandone!
Anza na general chem, then afata physical kwanzaWakubwa shikamoni aisee ndo kwanza naanza ila madude ni magumu hayagusiki
1.General Chemistry
2.Physical Chemistry
3.Organic Chemistry
4.Inorganic Chemistry
5.Acid,base and salt
Nimejaribu kugusa Aufubau principle naona hata siwezi kuandika electronic configuration, pia Hydrogen spectrum ya Bohr's model(Balmers series,Laymers series,Paschen series, p-fund)
Ukija kwenye quantum orbitals haya maua na xyz coordinates yananichanganya. Nikaona niguse tena organic kwenye principle of showing reactions za benzene napo hapagusiki. Nikajaribu tena Physical kwenye Azeotropic mixture hata siyaelewi. Wadau nyie mlisomaje?
Kaza mbona rahisi hizo...Wakubwa shikamoni aisee ndo kwanza naanza ila madude ni magumu hayagusiki
1.General Chemistry
2.Physical Chemistry
3.Organic Chemistry
4.Inorganic Chemistry
5.Acid,base and salt
Nimejaribu kugusa Aufubau principle naona hata siwezi kuandika electronic configuration, pia Hydrogen spectrum ya Bohr's model(Balmers series,Laymers series,Paschen series, p-fund)
Ukija kwenye quantum orbitals haya maua na xyz coordinates yananichanganya. Nikaona niguse tena organic kwenye principle of showing reactions za benzene napo hapagusiki. Nikajaribu tena Physical kwenye Azeotropic mixture hata siyaelewi. Wadau nyie mlisomaje?
Na nitakumiss sana jamani au kwa vile nitakuwa nakuja likizo siyo mbayasawa kila la kheri nyandone!