naskiza muziki but siwezi kudownload . msaada

pisces

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
240
Reaction score
62
kuna website inaitwa muziki.net. kuna nyimbo nyingi za kibongo,na mara kadhaa
nikiplay moja kwa moja kutoka kwenye website zinacheza but nikidownload inashindikana.
nimejaribu kutumia idm bila mafanikio.
wataam nipeni ushauri wenu.

jf daima.
 
iyo idm inakataaje?? Inadownload shortcut?
 
huyu hana idm mbona mi napakuaga humo nymbo za zaman na hapa namalzia mi mmasai ya Mr. Ebbo.

na kwny Android tunadownload vp humo?
 
Inachelewa kuleta download box au haileti kabisa. Na hata ikileta haidownload. Kwenye website hakuna option ya download,Kuna kawindow kadogo kwa ajili ya play na sauti, seems wanabana.
 
tembelea musicbot.eu ...hii ndo ina database kubwa zaidi ya muziki.net,na reliable zaidi
 
nimeshaelewa shida yako ndugu fanya hiviiiiii...downloadflashGot hapa, hii inatumika kwenye mozilaa/firefox browser tuu, click Add to Firefox then ita pop up itakwambia install na mwisho itakwambia restart Firefox, kubali.

Baada ya apo we tafuta webiste yeyote ile ambayo unaweza ku play wimbo au video, iwe tube zooote n.k utaona incon ya hii flashgot inablink upande wa kulia wa browers yako au kushoto, uki click tuu itakwambia wap u save na mara 2 itakuletea format zoote za hiyo media yako i.e video or audio kama unataka ya mp4, flv n.k chagua na useme oook..

nimejaribu hii lakini nadhan ina conflict na idm so haiblink
 
hawa jamaa hawana miziki mingi ya kiafrika pia inazingua kudownload
 
nimeshaelewa shida yako ndugu fanya hiviiiiii...downloadflashGot hapa, hii inatumika kwenye mozilaa/firefox browser tuu, click Add to Firefox then ita pop up itakwambia install na mwisho itakwambia restart Firefox, kubali.

Baada ya apo we tafuta webiste yeyote ile ambayo unaweza ku play wimbo au video, iwe tube zooote n.k utaona incon ya hii flashgot inablink upande wa kulia wa browers yako au kushoto, uki click tuu itakwambia wap u save na mara 2 itakuletea format zoote za hiyo media yako i.e video or audio kama unataka ya mp4, flv n.k chagua na useme oook..

Ina resume mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom