naskia lumia 920 inatumia wireless charger,

naskia lumia 920 inatumia wireless charger,

Hata mie naskia....so wote tunaskia...ahahahahahahahahahaaaaaaa
 
Wote mtabakia kusikia hebu toeni vielelezo basi kwa wale mlio na simu ya aina hiyo ili kuondoa utata
 
Ni maskioni pia kwen shop nlonunua lumia710 pia lumia920 zpo nkaulza bei wakanpga bonge y bei ad nkastuka cjakaa vzur nkaambia pia inatumia wireless chaja nkaona bora nchkue 710 yng nkasepa
 
Wireless charger ya Lumia ni optional, unakuwa unaiweka simu juu ya charger ambayo ni kama mto hivi.
Hii inatumia principle ya induction kwa kutumia nguvu za sumaku katika charger inaenduce electricity katika coil iliyo ndani ya simu.
Tech hii imo kwenye simu zengine kama Nexus 4, simu za Palm, na kuna conversion kits unaweza kununua kwa ajili ya simu nyingi kuwezesha hili.
Wireless hii hauwezi kuzunguka nayo simu inabidi iwekwe juu ya charger, i.e very short range. Inapunguza kudeal na kuchomeka cable tu.

jbvUE.jpg
 
Ahsante
 
Asante mkuu kwa elimu kwa maana wengine tulikuwa tunafikiri unacharge kama bluetooth au WIFI, neno wireless kumbe ni pana sana. Kwa namna ulivyoelezea inaleta logic kabisa.
 
Idiot .kwanini usiangalie kwenye internet unakimbilia kwenye Jf.Haitumii wireless pumbavu
 
Birika la kuchemshia maji ambalo ni wireless aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom