Naskia BSS bila kura ingekuwa catastrophy!!

mchajikobe

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
2,652
1,238
Tetesi nilizozipata hivi karibuni ni kwamba baadhi ya majaji wa bongo star search wameujutia uamuzi wao wa kukubali kuwa kura za mashabiki ndio zitakuwa muamuzi wa mwisho,na si maamuzi ya majaji,ukweli ni kwamba kwenye kabinet ya majaji kulikuwa na baadhi yao waliopenda ile tuzo iende kwa mtu ambaye walikuwa wameshamuandaa,lakini endapo maamuzi ya majaji yangechukua nafasi naamini kabisa pale diamond pasingekalika,poleni sana majaji na sera zenu za ukandamizaji,naomba hizi sera za kura zidumishwe hadi kwenye ma miss.Mwisho nampongeza sana bwana Pascal Cassian kwa kuibuka mshindi wa haki!!!
 
Mkuu umeongea kweli tupu. Mshindi wao kwa mwaka huu kwa majaji alikuwa ni Kelvin Mbati!!!! Naona aibu ilkuwa kubwa kama wangethubutu kutompa Paschal Casian. Iwe fundisho kwao baada ya kumchaga Misoji mwaka jana bila ridhaa ya Watanzania. Mwaka jana yule dogo ambaye alikuwa ni composor ana alikuwa anacheza gitaa yaani yule mshindi wa pili ndiye alitakiwa awe mshindi.

Hata hivyo, hata Madam sidhani kama sana maana kwa ishara alionekana kabisa kuwa hakuamini macho yake. Haki ndiyo ile ya Kijana Cassian na iwe ni fundisho hata kwa maonyesho na mashindano mbalimbali.
 
Kweli kulikuwa na dalili kubwa kuwa majaji walimuandaa Kevin kuwa mshindi
 
Haya ni majungu, acheni hizo Ritha toka mwazo alisha jua Kevin sio mshindi. Kwa walio fuatilia watakua wanaua kabisa kuwa ila siku baada ya show waliku wanaoneysha idadi ya kura , hakuna siku hata moja Kevin akaonekana ana kura nyingi ,sasa iweje eti Kevin aandaliwe wakati matokeo ya Kura tulikua tuna yaona kila siku?

Halafu ile sio show ya Ritha kama yake pekee ,ile ina wadhamini wakubwa kama VOdacom na TBL , wote hao sio wajinga kumuachia Ritha ajiamulie anavyotaka sababu eti yeye ni exective producer.

Watu wengi ni wa kwanza kulalamika wakati ukiwauliza kama walivote utakuta hakuna hata mmoja aliye vote .

Kuhusu suala la Misoji Nkwabi kwamba alipewa, Kwanza kabisa Misoji ali perfrm bonge la nyimbo " I will always love u" na kuiimba vizuri sana kiasi cha watu wote kumkubali, na pia, kura zote zilikua zinaoneyshwa na mara zote Misoji alikua anaongoza,
Naomba muwe na uhakika na manacho sema.
 
tiiiih tiiih tehhh kweli wewe mtoto wa kishua maana hoja zako zinathibitisha hilo
 
Una hisa nao nini? mbona unatetea sana? tumezoea mashindano yetu ya bongo washindi hupangwa sasa wewe unayebisha unatoka wapi? kwani TBL hilo ni shindano la kwanza kudhamini? hayo mengine ambayo hayakwenda kwa haki walikuwa wamelala?
 
Nadhani hujui unachoongelea ,kupangwa kwa matokeo kwa mashindano yaliyopita inawezekana labda kuwepo upangaji ,lakini kwa hili la BSS nabisha kabisa.

Huwezi panga matokeo huku ukionyesha mashabiki kuwa fulani anaongoza kwa kura , kwa kuonyesha idadi ya kura kila week , ambazo zina oneyesha dhahiri nani yukotop na nani yuko bottomline , halafu eti kwenye finals ndio useme fulani aliye kua anashika mkia ndio kashinda , hilo haliwezekani , waandaaji sio wajinga kiasi hicho hata kama ni wanataka kumbeba fulani .

Mashindano haya yalikua open toka mwanzo, kila siku tuliona Cassian anaongoza ,so ubishi kulikua hakuna , labda nikuulize umefuatilia hilo kwa muda gani ?

Kama umefuatilia na ungegundua maneno ya Ritha yalikua yanaoneysha kabisa ni kwamba yeye anamkubali Kevin sababu ameona kipaji chake na kwamba Watanzania wengi ambao ndio ndio voters hawajajua hilo , ndio maana alikua kila aki panda jukwaani Ritha alikua nasimama kumpongeza ,alijua kabisa kua Kevin kwa uchache wakura zake alizo kua anapata weeki zote hawezi shinda ila ana ku kubali kua ni mzuri katika uimbaji.

Vile vile kama uliangalia show , uliona kuwa Salama alituma mesg kwa Ritha na kumuambia aisome live, na mesg ilisema kuwa "Kevin ni una kipaji ila umezaliwa kwenye pande usizo stahili" kwa kua salama alikua ni judge alishaona kura zote za weeks zilizo pita na alijua Kevin hana nafasi ila alionyesha kumtambua kevin kua ana kipaji kukubwa ambacho voters wengi hawajaweza tambua hilo .

Tatizo lingine, wengi tuna bisha na kusema kupangwa katika mashindano mengine mfano hiyo Tuzo za Kilimanjaro , again na sema wabishi na walalamishi je wangapi mlivote?
 
Ni ya kweli kabisa Firstlady, ndo maana siku ile Master jay alisikitika sana kuona kelvin ana kura ndogo sana, kila mara alikuwa anatikisa kichwa.

hatari lakini salama kama ni kweli basi ufisadi uko kila sehemu sio ikulu tu
 
Majaji walitumia siku ile kuhitimisha au ni mapenzi binafsi ya nyie watazamaji mkaja na matokeo yenu ukimbini kuwa Pascal ndo mshindi.
Nilishangaa supa staa AY alivyo panda jukwaani alitegemea atashangiliwa watu ziiiiiiiiiiii wanamwangalia tu dah kila akijaribu kukonga nyoyo za watu lakini wapi.
 
unajua swala la misoji ni lautata,labda waliona watapoteza washabiki ndo maaana mwaka huu wameamua kuleta haki, kuhusu wadhamini sio issue hata mamiss wakati mwingine wanachemsha,na wadhamini wapo
 
Majaji walitumia siku ile kuhitimisha au ni mapenzi binafsi ya nyie watazamaji mkaja na matokeo yenu ukimbini kuwa Pascal ndo mshindi.
Nilishangaa supa staa AY alivyo panda jukwaani alitegemea atashangiliwa watu ziiiiiiiiiiii wanamwangalia tu dah kila akijaribu kukonga nyoyo za watu lakini wapi.

Pascal alistahili ushindi kwa sababu yule ni mwalimu wa muziki anajua note zote za muziki, tofauti na wengine wanajua tu kuimba nyimbo za watu, halafu ile ni bongo star chart unatakiwa uimbe nyimbo ambazo wabongo watazikubali, halafu pascal kila wiki alikuwa anabadilika kutokana na mazingira yalivyo kwa hiyo nina imani hata huko anakoenda anaweza akabadilika akawa wa kimataifa, yuko wapi Misoji? yuko wapi Jumanne wote wamesahaulika. lakini mtaona pascal atatoka
 
huyo dogo ndio alikuwa chaguo la majaji kwa sababu ndio rahisi kupiga panga zawadi, hayo ya kura wangetaka kubadili wangeweza kwani hata kampuni linalosimamia hizo kura star fish mobile ni wasanii tu.
 
yuko wapi Misoji? yuko wapi Jumanne wote wamesahaulika. lakini mtaona pascal atatoka

Si ndo maana mm iwa najiuliza haya mashindano lengo lake haswa ni nn? Maana wakitoka huko ndo basi nikagundua kuwa mashindao haya ni ya kukalili nyimbo na si ubunifu {creativity} wa mtu
 
Back
Top Bottom