Nasimama (kikubwa) kila wakati... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nasimama (kikubwa) kila wakati...

Discussion in 'JF Doctor' started by JituParaTupu, Jul 28, 2010.

 1. J

  JituParaTupu Member

  #1
  Jul 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2008
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wakuu,

  Ni kitu ambacho nikiwaeleza wenzangu huwa hawaamini! Ni kwamba ninasimama kikubwa kila wakati hata kama siwazii wala kuwa na mwenza karibu. Yaani wakati nashughulika na mambo mengine kabisa, najikuta nimesimama! Yaani nashindwa hata kujishangaa!
  Hivi wadau ninaweza kuwa na tatizo gani?

  Nawasilisha kwenu kwa msaada.
   
 2. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Vitu kama hivyo mimi ningeomba muwemnatutajia umriwenu ndipo mnaweza kupata ushauri imara.:bored:
   
 3. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Msongo wa shughuli zako ndo chanzo cha wewe kusimama kikubwa. Zinakufanya uwe aggressive, even sexually.
   
 4. J

  JituParaTupu Member

  #4
  Jul 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2008
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mkuu KakaKiiza,

  Nina umri wa miaka 47.
   
 5. J

  JituParaTupu Member

  #5
  Jul 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2008
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kivipi mkuu? Hapo bado sijakuelewa.
   
 6. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mnh pole,
  labda 'hujafanya' siku nyiingi!
   
 7. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Una mke au huna?
   
 8. J

  JituParaTupu Member

  #8
  Jul 29, 2010
  Joined: Nov 20, 2008
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hapana! Ninaye girlfriend. Nafanya naye siku nne kwa wiki na ni mara mbili kwa siku...kabla ya kulala na asubuhi kabla ya kwenda kibaruani.
   
 9. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  :bowl::bowl::bowl:
   
 10. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Naona unapata kifungua kinywa na kifunga kinywa! Nakushauri uoe kabisaaa ili uwe unapata kila siku!:yield:
   
 11. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ukiwa unapiga game unamaliza mara ngapi? Na mwenzio anafika mara ngapi?

  Note: kama mchezo ni mkifika tu room mnaanza na within 5 minutes 'game over' lazima usimame hata katika daladala!

  BTW: una miaka 47 halafu bado unakaa na gf? Kwanini usitafute mke? Huna mpango wa familia?:nono:
   
 12. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  mkuu, marambili kwa siku? hiyo ni addiction. Iliwahi kumtokea kijana mmoja mwenye tabia kama yako, akasimamisha siku tatu non stop, alilazwa for a week oysterbay hospital, akatundikiwa drip kadhaa, no woman was allowed to enter his room, awe dk wa kike, nesi, mama yake hata girfriend wake. Nasikia Kaugonjwa kanaitwa DINDI. Punguza hiyo dozi ya siku nne kwa wiki twice daily, inawezekana mishipa ya mtambo wako ilishapata tatizo.

  suprising, 47 yrs still living with girlfriend??!!!! No wonder lazima uugue dindi, how addicted to sex is she?.
  Seek medical advice and change hako kamzuka.
   
 13. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  "Kwa Msaada wa Watu wa Marekani funga NDOA kabisa" 2 x 4 kwa wiki :nono:
   
 14. J

  JituParaTupu Member

  #14
  Jul 29, 2010
  Joined: Nov 20, 2008
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Namaliza X2, naye gf anaendaga X3.
  Gemu nzima ni dkk-65, foreplay dkk-10.
  Gf sikai nae, used to come...she's free. Had wife,,divorced 1994. Got four children..the last one amemaliza kdt cha 6 mwaka huu. Sihitaji mtoto tena.
   
 15. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,986
  Likes Received: 1,043
  Trophy Points: 280
  Wewe kweli Shababi. Yaani ulipofikisha umri wa miaka 31 ulikuwa tayari na watoto 4. duu Jitupara hebu gonga tano mkuu.

  Nauhakika iko siku waweza kuteuliwa kuwa running mate, wa CCM kwenye presidential position, maana nawe ni SHABABI.
   
 16. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  We mkuuuu una matatizo gani? Yaani una miaka 47 na unatwambia una girl friend!!!! Hii ni hatari sana. Unasubiri nini kuoa. Hilo tatizo ni kwa sababu ya huo girl friend. Ukioa litaisha kabisa.

  ....Aziniye na mwanamke hana akili kabisa, anafanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake....
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mtu wa miaka 47 hawezi kuwa na girlfriend. atakuwa na mke au hawara, na watoto na majukumu. mtu wa miaka 47 hawezi kuwa na jina kama hilo JituParaTupu.
   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Duh umeniacha hoi mheshimiwa una 47 harafu huna wife unaonekana uko active kweli kweli..
  Oa basi au ndo ugumu wa maisha?
   
 19. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #19
  Aug 5, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Afadhali ya hayo kaka kuliko machine kuzimika kabisa....
  Kama inakupa shida sana tembea na kipande cha mpira wa baiskeli,, kitu kikianza kurusha mateke unakilaza tumboni na kukifunga mpira kupitia mgogoni,,kwisha habari yake!
  kwanini ushindwe na mtoto wako mwenyewe!!
  Chonde chonde usitafute madawa ya kupunguza kasi
   
Loading...