Nasikitika, Mshana Jr amepoteza mvuto

Nasikitika, Mshana Jr amepoteza mvuto

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,569
Reaction score
21,078
Huyu jamaa kwa kweli ni Guru, Ila siku za karibuni amepoteza kabisa mvuto na content pia.

Nyuzi anazotuma zinakosa kabisa wachangiaji, kiasi kwamba kuanzia post ya kwanza hadi ya ishirini ni yeye mwenyewe amekuwa akizituma.

Tangu ameacha uchawi, mambo yake mtandaoni yamemwendea mrama.

Mzee Mwenzangu Mshana Jr, rudi kwenye Asili yako. Wewe ni mtu wa mizimu na matambiko, huyo mrembo anayekuogesha kwa maji ya upako wa Kawe Tanganyika Packers na kukupaka mafuta ya Zaituni kutoka kwenye madhabahu ya Mnyakyusa wa Kawe anakupoteza maboya, sambuka mwana
 
😁😁😁😁 nililiona hili na sababu ni hizi mada za ubunifu ambazo inabidi kupost picha nyingi kwa wakati mmoja .. Ila tafsiri yake utaijua soon😀
Hizi si mada zinazoweza kuchangiwa na wengi kutokana na muktadha wake hivyo uwe na amani kabisa najua kwa hakika ninachokifanya . asante sana
 
Shukrani sana Sheikh
 
Siku zote mada za maana hazina wachangiaji na ukweli lazima upingwe na utafutiwe kasoro na kukosolewa kinoko ila kwa content za ushee watu ni wengi mno
 
Sasa kama wewe Ile content ya kuwasifia wachaga si ni upuuzi mtupu.
Ulianza vizuri na Mambo ya programming mara coding saizi umeishia kwenye ukabila kwanini usipoteze mvuto.
 
Kuwasifia au ni ukweli tatizo watu mna wivu, hampendi ukweli utakuta mtu anasema ni ukabila sijui sasa ukijiuliza ukabila na ukweli ni wapi na wapi...
Pia kwako ni upuuzi kutokana na namna unavyolichukulia jambo
 
Huyu jamaa kwa kweli ni Guru, Ila siku za karibuni amepoteza kabisa mvuto na content pia.

Nyuzi anazotuma zinakosa kabisa wachangiaji, kiasi kwamba kuanzia post ya kwanza hadi ya ishirini ni yeye mwenyewe amekuwa akizituma.

Tangu ameacha uchawi, mambo yake mtandaoni yamemwendea mrama.

Mzee Mwenzangu Mshana Jr, rudi kwenye Asili yako. Wewe ni mtu wa mizimu na matambiko, huyo mrembo anayekuogesha kwa maji ya upako wa Kawe Tanganyika Packers na kukupaka mafuta ya Zaituni kutoka kwenye madhabahu ya Mnyakyusa wa Kawe anakupoteza maboya, sambuka mwana
Kumbe mvuto tu.Mvuto sii maisha hivyo bado tunaye inawezekana wewe tu ndio humtakii kheri.
 
😁😁😁😁 nililiona hili na sababu ni hizi mada za ubunifu ambazo inabidi kupost picha nyingi kwa wakati mmoja .. Ila tafsiri yake utaijua soon😀
Hizi si mada zinazoweza kuchangiwa na wengi kutokana na muktadha wake hivyo uwe na amani kabisa najua kwa hakika ninachokifanya . asante sana
Kaka kwisha habari yako...🤣🤣
 
Huyu jamaa kwa kweli ni Guru, Ila siku za karibuni amepoteza kabisa mvuto na content pia.

Nyuzi anazotuma zinakosa kabisa wachangiaji, kiasi kwamba kuanzia post ya kwanza hadi ya ishirini ni yeye mwenyewe amekuwa akizituma.

Tangu ameacha uchawi, mambo yake mtandaoni yamemwendea mrama.

Mzee Mwenzangu Mshana Jr, rudi kwenye Asili yako. Wewe ni mtu wa mizimu na matambiko, huyo mrembo anayekuogesha kwa maji ya upako wa Kawe Tanganyika Packers na kukupaka mafuta ya Zaituni kutoka kwenye madhabahu ya Mnyakyusa wa Kawe anakupoteza maboya, sambuka mwana
Asili haipotei, hekima haipoteni upendo kwa wengine haupitwi na wakati, Wala mawazo mazuri kwa watu wengine hayapitwi na wakati, nadhani mshana jr unaemuongelea humjui vizuri, unamjua kupitia nyuzi za ubunifu wa mbao nk.

Mshana jr hajapotea, Mimi Huwa nafatilia nyuzi zake za 2016 mpaka Leo bado zinaishi ni Zinareflect human reality.

Kwaiyo mkuu, badilisha title andika mshana jr anauosoma mchezo, anawaaacha vijana wakue waoneshe uwezo wao.
 
Huenda tukapata talented people humu
Maana kila siku mnasema duniani ajira hakuna
Ila Mkuu Mshana uwe unaweka vya kuwashawishi vijana zaidi kama kutengeneza vitu vya matumizi ya kila siku

Kuna watu duniani wanaishi kwa kutengeneza mpaka breaks za magari kwenye katakana zao

Ila mzee anatuonyesha mengi sana wala haitukeri
Huenda amepumzika kidogo kwa zile nyuzi mlizozizoea
 
Back
Top Bottom