Nasikia zina tofauti anaejua msaada pliz!!

kazuramimba

Senior Member
Jun 14, 2011
126
57
wakuu pale Ardhi wanatoa Bachelor of Arts in Economics nasikia hii nitofati na ya UDSM japo majina yanafanana.so pliz anaejua tofauti anijuze.!!!
 
me hiyo ya ardhi siielewi hata,wanasoma na vitu ambavyo cjui kama vina implication yoyote katika uchumi
 
anyway,ya ardhi haiko vibaya sana ila wahusika wenyewe wanailalamikia kwamba hawaend fild,ndo yanakua yale yale ya udom.

acha kumdanganya dogo,ya pale ud 1st year field hawana na kuhusu udom haikuwepo kabisa mpaka 3rd year,ila ya pale ardhi field wanazo mbili,kwahiyo kitu kilichobaki ni wewe tu kujishughulisha na shule ila course ipo poa,ila jiandae kusoma masterz maana BA eco haina ishu now.
 
ebu angalia hyo ya ardhi unambie wanaenda fild lini na lini,ya ud najua wanaendaga 2nd yr.
 
acha kumdanganya dogo,ya pale ud 1st year field hawana na kuhusu udom haikuwepo kabisa mpaka 3rd year,ila ya pale ardhi field wanazo mbili,kwahiyo kitu kilichobaki ni wewe tu kujishughulisha na shule ila course ipo poa,ila jiandae kusoma masterz maana BA eco haina ishu now.
Ni course ipi yenye ishu siku hizi.... naomba msaada wako
 
medicine,education na agriculture.

kwa kuongezea education about science subjects,land management and valuation,nursing,real estate agents/developers,pharmacy,kwenye kilimo maafisa ogani wanahitajika sana sana na actuarialist.Hizi ndio courses au professionals zinazo na zitaendelea kuitajika maana bado wataalamu hawa hawako flooded kwenye market ya ajira.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom