Nasikia Malalamiko Kanda ya ziwa

Sauti ya Spencer huwa haipotei Bure,
Mtwara mpooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Peoplessssssssssssssssssssssssss Power
 

Doz Ishaingia, saivi vyuo karibia vyote ndani ya nyumba
 
2015/16?????????
 
Walipobadili gia angani wakabeba fisadi kuu sisi tulibadili gia aridhini tukamuunga mkono JPM.
Na matunda yake yako wazi.

Walilewa na serikali za mitaa maana sema kweli asilimia kubwa ni chadema tupu ila upepo ulichange miezi mitatu ya mwisho
Sio kweli, mliunga mkono JPM kwa imani kuwa ni mwenzenu, inafahamika kulikuwa na kampeni za hovyo kabisa za kikabila kwa upande wa wabunge hapo Mwanza. Tunasubiri kuona miaka minne na ushehe hapo jijini "deriverence" ya akina Mabula! bahati nzuri utendaji huwa haufichiki, sijui 2020 kama watakuja tena na hiyo kete ya ukabila na "wizi wa kura"!
 
Endeleeni kujichanganya ila it's too late to weep.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…