Nasikia kuna ajali imetokea

KASIANI

Member
Jul 9, 2011
14
2
Jamani kwa taarifa zisizo rasmi nimesikia basi la NBS limepata ajali maeneo ya Igunga/Nzega kama kuna mtu mwenye taarifa zaid naomba atujuze.
 
Saa hizi ndo unauliza hii habari?
Nenda jukwaa la habari mchanganyiko utakuta hio taarifa
 
Back
Top Bottom