Nashundwa ku-update application kwenye Simu

tamsana

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
3,842
Reaction score
8,266
Ni matumaini yangu kuwa wote humu ni wazima wa afya, samahani nimetumia tecno p5 kwa mwaka sasa lakini naona kama ndo imefikia mwisho kwasababu pamoja na jitihada zangu bado nashindwa ku update apps,

nina kiasi cha laki 3 kwahiyo nawaomba wataalam wa smartphone mnishauri ni sim gan naweza pata ila isiwe tecno wala huawei.

Asanten
 

Attachments

  • 1417426103988.jpg
    26 KB · Views: 158
Insufficient space, manake delete data kwenye internal memory problem solved!
Kuna pm nimekutumia kwa options zaidi
 

Nna Lumia 620 kama upo tayari Ni pm
 

kuna htc desire 600 for 250000 ni pm
 

kwa tatizo kama hili la simu yako " insufficient storage" hata ukinunua tablet bado linaweza kutokea vizuri tuu.

ila kwa ushauri. kama hupendi tecno wala huawei.

kuna samsung za poa ila ukinunua simu used inawezakuwa ni janga lingine.

pia huawei ni simu poa ila zinahitaji uangalifu especially kioo chake.
 
Nilikuwa na tecno phantom aisee imezingua sana..kama yako ila tangu nifumbe macho nikanunua s.galaxy s4 yaani nimesahau shida nyingi za simu...
 
galaxy s4 ni mwisho wa matatizo. unaweza pata used kwa 400k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…