Nashukuru sikuzaliwa mkiristo

Nashukuru sikuzaliwa mkiristo

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
8,476
Reaction score
12,666
Hili nashukuru sana, maana hivi sasa sijui ningalikuwa vipi.
"Hakika walioamini na wakatenda mema, wao watakuwa katika mabustani yenye neema, wakikaa humo milele." (Qur'an 10:9)

"Hakika Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu..." (Qur'an 3:19)
 
Huo ni mtazamo wako, wengine nao hujivunia kuzaliwa kwenye dini zao. By the way hakuna mkristo mlafi anayeshobokea vyakula vya waislam kwenye sikukuu yao. Kule kushiriki kula vyakula hivyo ni kushiriki ibada yao ya kipagani
 
Umevurugwa na EID kigeu geu. Wavaa kobazi na msuli mna shida hatariii.

Dini ambayo inategemea mwezi uwaongoze km sio wehu nn? Lol
😂😂😂😂😂
Tumsaidie maleria 2 kichwani imepanda, doz mseto wataalam ushahuri
 
Umevurugwa na EID kigeu geu. Wavaa kobazi na msuli mna shida hatariii.

Dini ambayo inategemea mwezi uwaongoze km sio wehu nn? Lol
😂😂😂😂😂
Tumsaidie maleria 2 kichwani imepanda, doz mseto wataalam ushahuri
Kasahau kumeza mbaazi huyu, sio buree.
😂😂😂😂
Bahati yake kesho kula muda wote, ingeendelea, maleria ugonjwa mbaya
 
Back
Top Bottom