Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,431
Mungu Hana dini, acha chukiHili nashukuru sana, maana hivi sasa sijui ningalikuwa vipi.
"Hakika walioamini na wakatenda mema, wao watakuwa katika mabustani yenye neema, wakikaa humo milele." (Qur'an 10:9)
"Hakika Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu..." (Qur'an 3:19)