njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,258
- 7,101
Ni haki yako sikasiriki huyo mwenzako anasema mimi kushukuru kuwa muislam ni chuki ..Sio chuki Hujakosea.
Hata mimi nashukuru sikuzaliwa muislam mana kiti moto ningekuwa naipata kwa shiida.

Hili nashukuru sana, maana hivi sasa sijui ningalikuwa vipi.
"Hakika walioamini na wakatenda mema, wao watakuwa katika mabustani yenye neema, wakikaa humo milele." (Qur'an 10:9)
"Hakika Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu..." (Qur'an 3:19)
Hivyo vikopo vyenu Vya kutu mnavyochambia ndo unaonea fahari?Hili nashukuru sana, maana hivi sasa sijui ningalikuwa vipi.