Nashukuru sana kwa ushauri wenu

WOLF SEPTICEMIA

Senior Member
Joined
Dec 11, 2017
Posts
168
Reaction score
102
Hodi wakuu!

Napenda kushukuru kwa mchango wenu wa mawazo yenu kwa kunishauri kwa upendo na wengine kuwa na hasira ila kifupi nimesaidika sana Mungu awe nanyi wapendwa ila tafadhari Sana punguzeni kutumia maneno makali na matusi kwani hayajengi zaidi unakuwa una haribu mentality ya mtu, kwa namna hiyo tutapoteza wependwa wanaotaka ushauri wenu kwa stress.
Nawasilisha
 
Karibu tena mkuu.
 
Baada ya kushukuru, hutaki tena ushauri mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…