donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,141
vitamburisho vya uraia? mbona kwetu bado? wanaenda mkoa kwa mkoa? ebu nieleze mwenzio nimetoka shamba
Hongera kwa kukomaa ad kumaliza
Hilo zoezi sijui kwetu linaanza lini
Ulishamaliza kesi na bebi?